Tamthlia zilizotafsiriwa zinamaliza ubora wa tamthilia zetu

jbushjunior

New Member
Jan 2, 2021
4
2
Ni muda sasa imekuwa nilitafakari sana kuhusu hizi tamthilia za kihindi na za kichina zilizotafsiriwa kwa kiswahili. Kwakweli zimepa mashabiki wengi sana hapa nchini kwetu.

Tamthilia hizi zinatazamwa na watu wengi na zimekuwa zikioneshwa katika chanel nyingi sana hapa bongo.

Wasiwasi wangu ni kwamba tamthilia hizi zipo njiani kabisa kuua tamthilia zetu za kibongo.
 
Ni bora niangalie za kina wang yang,kuliko hawa wala bia na waonesha mapaja tamthiliya kibao za kibongo ni mapenzi tu yamejaa wakibadilika wao na sisi tutabadilika...
 
Back
Top Bottom