Tupia jina la wimbo bora kwako!

Tupia jina la wimbo bora kwako!

incredible terminator

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2016
Posts
2,533
Reaction score
4,290
Wadau nataka kujua wale tunaofuatlia mziki wa bongo fleva kuanzia miaka 2010 kurud nyuma ni wimbo gan ulioupenda na uliimbwa na msanii gani ambao hauchuji masikion mwako hadi saiz unaukubali ile mbayaaaaa! Mi naanza na hii hapa "TATU BILA" By wanaume halisi je wewe hapo uliupenda upi?
 
Yule -qchief

Watu wananishangaaa kumpenda kikongweee nakupenda bibi kizeee nakupenda kikongweeee, - pico
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom