Bado - Ibraah (wimbo wa maombolezo)

Bado - Ibraah (wimbo wa maombolezo)

reg edit

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2012
Posts
403
Reaction score
504
Nimeusikiliza huu wimbo aisee kijana ameimba kwa hisia saaana.. inawezekana ukawa ndio wimbo unaoamsha sana hisia kuliko zote kwenye nyimbo za maombolezo ya msiba wa raisi wetu Magufuli.

Kuanzia vocals, beat na mpangilio wa maneno amejitahidi sana.

Link hiyo

 
Back
Top Bottom