Video: Afro ya Les Wanyika

Video: Afro ya Les Wanyika

Siku hizi ni kushikilia suruali tu

Hahaha
 
Mkuu Malcolm unakumbukana kipi

Siku hizi nyimbo zao kizazi kipya hazinipi mzuka kabisa sijui kwa nini
Hapa nilikuwa nacheza,ukumbi mzima nazunguka mimi,jasho mwili mzima,aisee nimefurahi sana kuuona huu wimbo
 
Hii nyimbo kali Sanaa,mpaka leo,nikiisikiaga lazima nisimame,shida siku hizi sehemu za nyimbo hizi unakuta wamejazana watoto tuuuu
Yaani burudani ya kipindi hicho haikuwa ya kitoto inatoboa mpaka leo

Wa kileo wamebaki na vinyoka nyoka tu hata yale majoka tuliyokuwa tukiyaita sie hayapo ( kaenda kuruka majoka )

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom