Kama uliwahi kuisifia series ya LOST njoo hapa

Da'Vinci

JF-Expert Member
Dec 1, 2016
35,678
106,788
Kama uliwahi kuisifia series hii inayoitwa Lost humu JF njoo pm nikuchape vibao.
Kuna watu wanaingizana mkenge humu, Wanakisifia kitu ila ukitizama ni uchafu mtupu. J.J.Abrams ni moja ya Director na Creators mzuri ninayemkubali baada ya Russo Brothers,David Cameron,Mel Gibson,Zack Snyder,D.Weiss&D Benioff ila kwa hii series Kaniangusha sana.
Mlio isifia hii series hongereni kwa kunipotezea muda!!

Uliyenishauri kutizama G.OT Ahsante sana..nitakusifu siku zote.

Haya niambieni kati ya Last Ship na Viking niangalie ipi?
 
Series ya Lost ni nzuri ukiiangalia ukiwa umetulia ila mwishoni mwishoni walikosa waliniboa walikosa wahusika ikabidi wajirudie rudie mpaka ambao walishakufa...
Mwanzo ni mzuri coz hujui what event come next japo mtunzi katumia mtindo wa kuchanganya mwisho kuwa mwanzo na mwanzo kuwa mwisho inahitaji utulivu uielewe
 
Achana na Last ship itakuboa tu Anza na Viking mzee utajua wapagan walivo wasurubu wakristu wa England na France bonge moja la series kama umeielewa GOT bac Viking ndo mahara pake lost niliona mpak season 2 mwanzon mwanzon tu nikatupa season 1 kiukwel iko hot
 
Series ya Lost ni nzuri ukiiangalia ukiwa umetulia ila mwishoni mwishoni walikosa waliniboa walikosa wahusika ikabidi wajirudie rudie mpaka ambao walishakufa...
Mwanzo ni mzuri coz hujui what event come next japo mtunzi katumia mtindo wa kuchanganya mwisho kuwa mwanzo na mwanzo kuwa mwisho inahitaji utulivu uielewe
U echoed my mind.Hiki ukichokisema umeongea kila kitu kwa niaba yangu pia.
Exactly
 
Kama uliwahi kuisifia series hii inayoitwa Lost humu JF njoo pm nikuchape vibao.
Kuna watu wanaingizana mkenge humu, Wanakisifia kitu ila ukitizama ni uchafu mtupu. J.J.Abrams ni moja ya Director na Creators mzuri ninayemkubali baada ya Russo Brothers,David Cameron,Mel Gibson,Zack Snyder,D.Weiss&D Benioff ila kwa hii series Kaniangusha sana.
Mlio isifia hii series hongereni kwa kunipotezea muda!!

Uliyenishauri kutizama G.OT Ahsante sana..nitakusifu siku zote.

Haya niambieni kati ya Last Ship na Viking niangalie ipi?
Last Ship.

One of the best

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lost ya ukweli sana, amsha amsha za kule pori..na nature ya kisa chenyewe mtuzi alitumia akili kubwa sana...Ukiiangalia fasta fasta lazima ikuchanganye...Niliishia Season ya 6 Col Rocky katumbukiza Bomu kwenye lile shimo akiwa na lengo la kuivuruga system yote ya mahali pale.
 
Back
Top Bottom