Natumaini mu wazima: nisaidie tafsiri ya nyimbo zake zifuatazo.
1. ECOLE
2. ALLO TELEPHONE..
Hata kwa lugha ya kiingereza ingenifaa. Najikuta kupenda kuzisikiliza... Nisaidieni nijue yaliyomo nisije nikawa nasikiliza nyimbo (wimbo) zenye matukano.. Karibuni