Tunaomba ufafanuzi kutoka TBC: Ni kwanini picha zenu za video sio ng'aavu

Mm nadhani pale shida ni kuna wazee sana ambao hawajui kuendana na teknolojia, kipindi kile cha sikukuu za Krismasi na mwaka mpya waliwaonyesha cameramans wao wengi wao ni wazee.
 
Back
Top Bottom