Hakika mwigizaji Jumanne Rajabu mwanzoni alikuwa anafahamika sana kwa jina la uchekeshaji la Chili Sosi au Chili akiwa na swahiba wake Ringo baada ya kuamua kuuvaa uhusika wa mganga wa kienyeji...
Inapendeza kuona mji wa dhahabu makao ametuandalia/
Lakini ikifunguliwa milango humo napenda kwanza kumuona yesu/
Ooh napenda/
Napenda kwanza kumuona yesu na sura yake ya ajabu kuu/
Mbinguni...
If only you could see the tears
In the world you left behind
If only you could heal my heart
Just one more time
Even when I close my eyes
There's an image of your face
And once again I come to...
Habari wana JF nawaletea simulizi nzuri ya Ulikuja kutafuta nini? Kama mtaipenda basi ntawaletea sehemu ya 02 sahivi tucheki hii sehemu ya 01.
Kweli hamna kinachoshindikana mbele za Mungu baada...
Mtunzi Juma hiza
Sehemu ya 01
Shauku niliyokuwa nayo ni jinsi nitakavyomuona dada na shemeji kwani mara ya mwisho ni siku ya ndoa yao iliyofanyika kwenye ukumbi wa New Msasani Club.
"Wengi...
Baada ya kupata umaarufu mkubwa kutokana na upekee wa mtindo wake masimulizi, Msimu wa Pili wa Filamu Serengeti (Serengeti II) unarejea kuanzia kesho.
Filamu hiyo inayosimulia maisha ya kila siku...
Marie Jose alimfanya nini lokasa, nyimbo hii alikuwa anaipenda sana dingi miaka ya 1993 nikiwa std 1, krismas dingi alikuwa akiwenda kanda na kuirudisha nyuma mpaka tuliposinzia,
Je, nani anayo...
Msaada wenu tafadhali. Nahitaji wimbo wa 'walimu tuna hali ngumu' ulioimbwa na marehem John Walker na Mkoloni, video au audio. Kama kuna mwenye wimbo huo naomba anitumie.
Huo wimbo ulikua...
Kama kichwa kinavyojieleza, naomba mni-pm mawasiliano ya J. Nature kwaajili ya shida binafsi. Zaidi ya yote ni moja ya wasanii wakongwe ninao wakubali sana.
Gang of London seasons 2 itaachiwa mwanzoni mwa mwaka 2022.
Kuna baadhi ya wahusika wanatalajiwa kurudi, ila Sean Wallace bado haijajulikana.
Story ni miaka miwili baada ya matukio ya season 1...
Leo ni #TBT, angusha mstari wowote kutoka kwa Albert Mangwea, Mstari ambao hadi leo unabaki kama kumbukumbu aliyoiacha CowBama.(r.i.p)
Naanza Mimi, Ngoma inaitwa Msela humo ndani kuna Juma...
Kwema wakuu?
Nisiwachoshe, niende kwenye kiini cha uzi.
Hii movie ina nadharia ya comedy, nilipata kuiona katika moja ya channel DSTV. Lakini sikubahatika kuimalizia mpaka mwisho.
Inaanza watu...
Jamani naomba tusaidiane, kuna nyimbo za Gospel huwa nazitafuta na sizipati naomba kwa uzi huu ikiwezekana nifanikiwe. Mimi nawapa huu wa Malebo kama kuna yeyote anautaka ila mimi natafuta ..
1...
Mimi na wewe
Chuki ya nini kati yangu
Mimi na wewe
Hasira za nini wee bwana
Hasira za nini wee bwana
Wataka kuniua bure baba
Wataka kuniua bure baba
Kwako hayuko
Kwangu hayuko
Chuki ya nini kati...
SIMULIZI HII IMEKAMILIKA
IMEANDIKWA NA : ZUBERI MARUMA
CHANZO : BURE SERIES
SEHEMU YA KWANZA
UTANGULIZI
JOHN VERGAN kijana anayemiliki kampuni kubwa na mwenye mafanikio makubwa katika maisha...
Dogo Huyu ni hatari anatengeneza midundo mizuri sana kizuri ni kwamba anatemgeneza na kuuza kwa bei rahisi. Msikikize hapa moja ya mdundo wake kabisa
Link hii hapa: