Quavohucho
JF-Expert Member
- Aug 30, 2020
- 1,023
- 2,411
Gang of London seasons 2 itaachiwa mwanzoni mwa mwaka 2022.
Kuna baadhi ya wahusika wanatalajiwa kurudi, ila Sean Wallace bado haijajulikana.
Story ni miaka miwili baada ya matukio ya season 1; investors ni nani? Season 2 itajibu
Je, season 1 ulipenda mini?
Kwangu season 1ep 5 ilikuwa ni fire kila dakika; ni baada ya asif army kwa order ya investors kwenda kumuua Darren aliyejificha kwenye safe house.
Power and money anayemiliki vitu hivi atatumia kila njia ili asipoteze hivi vitu!
Gang of london