Nahitaji wimbo wa 'Walimu tuna hali ngumu' wa John Walker ili uniliwaze baada ya kutoka darasani

ENANTIOMER

JF-Expert Member
Sep 22, 2014
1,419
804
Msaada wenu tafadhali. Nahitaji wimbo wa 'walimu tuna hali ngumu' ulioimbwa na marehem John Walker na Mkoloni, video au audio. Kama kuna mwenye wimbo huo naomba anitumie.

Huo wimbo ulikua unaniliwaza kila nilpokua na mawazo ya kazi ngumu ya ualimu. Nimejaribu kuutafuta sehemu zote hadi Youtube ila nimekosa.
 
masaada wenu tafadhali. nahitaji wimbo wa 'walimu tuna hali ngumu' ulioimbwa na marehem John Walker na Mkoloni, video au audio. Kama kuna mwenye wimbo huo naomba anitumie.
Huo wimbo ulikua unaniliwaza kila nilpokua na mawazo ya kazi ngumu ya ualimu.
nimejaribu kuutafuta sehemu zote hadi U-TUBE ila nimekosa. sijui wale wa juu waliagiza huo wimbo utafutwe popote ulipo na ufutwe!?
Usikie na huu na siku yako itakuwa njema
 
mwaka huu hamchangi mwenge nn
ilo la mwenge hilo, tena unakatwa kwa lazima. basi tu, yaani matatizo mengine ya walimu wanayalimisha kwa nguvu yatokee. wakati mwingine najuiliza ivi hawa watu ktk majukumu yao waliambiwa na la kumpa tabu mwalimu limo!?
 
na siku ya mwenge wanaenda shinda kwenye jua bila malipo
 
Nakumbuka nikiwa Field Mkaguzi aliniangalia sna ninavyofundisha baada ya ukaguz aliita pembeni akanambia naweza kufundisha ila hukupendez ualimu nikamwambia Mkuu upo sahihi baada ya kumaliza chuo nikaacha ualimu na kufata my dream job and I'm Done
acha na wengine tuanze kutathmini usahihi wa fikra zetu. huenda tunaakosea
 
na siku ya mwenge wanaenda shinda kwenye jua bila malipo
Mbaya zaidi wale viongozi kutoka halmashauri wanakula posho za kutosha. Ila sisi walimu tunalazimishwa hata kushona sare za mwenge kwa pesa zetu, kisha kushinda bure kutwa nzima kupokea mwenge, kisha kukesha bure usiku kucha ktk mkesha wa mwenge. huu ni unyama
 
chama cha walimu ndo kipo butu kingekuwa naviongozi kama mboe au lisu hilo jambo la kukesha kwenye mwenge mngelisikia kwa majirani zenu police
 
Back
Top Bottom