Kwakweli nimekuwa mpenzi wa muziki sana wa DRC na majirani zake, kiasi kwamba kwa umri nilio nao na hasa vijana wenzangu wananishangaa sana na kujiuliza maswali mengi.
Tokea nikiwa mdogo baba...
hii series ukimaliza yote na japo inaendelea
toka s1-9.
kiukweli wajapani wanasoma ulimwengu ulivo kuliko sisi tunavo jisoma.
ukisikia mtu kuwa jambazi,mkatili,mfanyabiashara,tamaa,kuchoka...
Hatukatai kurusha matangazo ya biashara, kinachoboa ni bandika bandua ya matangazo tu mwanzo mwisho for a long long time.
Kinachoboa zaidi tangazo lilelile ulilolisikia sekunde iliyopita...
Huyu mwanamama kama uliangalia john wick 3 basi wewe sio mgeni wa halle berry yule mdada anayepigana na mbwa wake fight like hell
Filamu ya bruised Jack justice mpambanaji mzuri wa Mchezo Ngumi...
Kuna zaidi ya siku 10, Crowned Miss Tanzania hajafika huko Puerto Rico, wanzake wameshafika na wanaendelea na kambi kwa nini miss wetu hajafika mpaka muda huu?simply hawaelewani na uongozi...
Wakuu poleni na miangaiko ya hapa na pale nije kwenye point, mwaka 2016 nilipatwa na balaa baada ya kuanzisha mahusiano na mwanamke ambae ni jini bila kujua.
Kipindi hicho nilikuwa nipo Morogoro...
MSITU WA SORONDO
Mtunzi Richard Mwambe
Simu 0754740668
1
Chau cafe Chau cafe
Amata Ga Imba aliendelea kunywa kahawa yake polepole kana kwamba hana
shughuli nyingine ya kufanya kwa siku hiyo...
Natumaini wote ni wazima humu jamvini poleni na majukumu pia..! Kama kichwa cha Habari kinavyojieleza mm ni mpenzi sana wa Ngoma za Hiphop leo na taka tushare pamoja kuhusu Rappers wa kibongo hata...
TAMTHILIA: CHALLENGE MADE
MUANDISHI: WINIFRIDA FRANCIS THOBIAS
SEHEMU: 3 $ 4
WhatsApp: 0746115688
Baada ya walinzi hao kuuliza hali ya bosi wao grace, grace aliwaambia yuko powa na hawana muda wa...
Wakali wa hit Amapiano ya John vuli gate (Mapara A Jazz) kwa mtazamo wa kiutafiti yawezekana wakawa ndio kundi cheap na rahisi kupatikana compared na makundi yenye mfanano na wao kutoka bondeni...
Hii ndio list ya waimbaji bora kabisa kuwahi kutokea Tanzania katika Bongo Fleva (Waimbaji na sio rappers)
Without particularly orders
Mr Nice
Mr Paul
Feruz
TID
Q Chief
20 percent
Dully sykes...
TAMTHILIA: CHALLENGE MADE
SEHEMU: 2
MUANDISHI: WINIFRIDA FRANCIS THOBIAS
Jackbosi alishangaa sana kumuona mtu anaefanana nayeye katika hospitali ambayo yeye pamoja na washirika wenzie wamekuwa...
Arrrrrlight Asante sana Aaahhh nistairi Moja tena maridadi zaidi tunakwingilia kaskazini mashariki kusini mwa India tunakutana na alie starling kwenye HOLO SINEMA.....
[emoji23][emoji23][emoji23]
[Chorus]
Mboka epanzani sango ee ee
[The town is spreading rumours about me]
Mboka epanzi ngai sango, balobi.. 'akoti lopitalo ee]
[They are saying 'he is in hospital']
Balobi.. 'bamoni ye nga...
Usiku wa Kihistoria wa DDC Mlimani Park. Sikinde Ngoma ya Ukae
Reunion of Comrades
Hassan Rehan Bitchuka
Benovila Antony
Maximilian Bushoke
Wakutana pamoja usiku huu wawNovemba 20, 2021 Kisuma...
WASAP: 0754021538
Kama maziwa yanaondoa sumu na wakati huo mke ana ana maziwa je mwisho wake nini kilitokea? Twende nami mwanzo mpaka mwisho wa simulizi hii kuweza kupata simulizi hii ya aina...
Katika tasnia ya muziki wa Bongo Fleva, kumekuwa na mtindo wa wasanii wakitoa nyimbo zenye maudhui ya “kingono” kuvuma zaidi (kuhit) kuliko nyimbo zilizo na ujumbe wa aina nyingine. Mathalani...
Ni dhahiri sasa kwamba Sanaa ya Taifa letu inazidi kukua siku hadi siku na baadhi ya Watu waliokua wanadhani hii sanaa uhuni kama sio kubadilika basi hawapo tena.
Kwa hivi sasa imekua kawaida...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.