Filamu mpya ya RED NOTICE

Filamu mpya ya RED NOTICE

EJM_

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Posts
3,836
Reaction score
2,119
Tarehe 12 mwezi huu filamu mpya inayokwenda Kwa jina la RED NOTICE imeachiwa ikiwa imetengenezwa na NETFLIX.

Filamu hii Una wataalam watatu wakali Dwayne Johnson, Ryan Reynolds na mwanadada Gal Gadot.

The Story: inaanza na masimulizi ya Zama kuhusu artifacts zilizopotea miaka Mingi na hapa zinaongelewa artifacts zenye muundo WA mayai ya dhahabu ambazo zilikuwa zinamilikiwa na Cleopatra (Ndio ni Yule Yule WA Misri) sasa wakati WA sakata la kifo cha Cleopatra yalipatikana mayai 2 na moja lilifichwa.

Sasa kwenye filamu hii kuna watu wanapewa kandarasi ya kutafuta hayo mayai yote matatu. Sasa kandarasi hii wanapewa wezi wakubwa WA artifacts Duniani ambao wanashindana Nani atayaoata kabla ya mwenzake huku wakiwa hatua moja Tu mbele ya polisi WA Interpol ambao wanawawinda Kwa udi na uvumba.

Humu Ndani kuna comedy, action, adventure na mystery kidogo. Kwa wale waliomzoea Gal Gadot na character yake ya Wonder Woman wanaweza wasimpende Sana humu. Ryan ameshazoeleka na Comedy zake pamoja na Dwayne ambaye naye siku za karibuni ameacha kuwa serious kwenye character yake.

Itafute na huenda ukaifurahia. Rating yangu ni 7/10
View attachment 2012581
 
Nimeona trailer nahisi ni nzuri. Napenda action zenye comedy kidgo.
 
Nitaipata wapi mkuu, sait gani nzuri kwa ajiri ya kudownload movie
 
Mkuu kacheck king Richard yake will smith imetoka,
 
Nimeipenda sababu ya cast na comedy kidogo. Critics wameirate chini sana.
 
Tarehe 12 mwezi huu filamu mpya inayokwenda Kwa jina la RED NOTICE imeachiwa ikiwa imetengenezwa na NETFLIX.

Filamu hii Una wataalam watatu wakali Dwayne Johnson, Ryan Reynolds na mwanadada Gal Gadot.

The Story: inaanza na masimulizi ya Zama kuhusu artifacts zilizopotea miaka Mingi na hapa zinaongelewa artifacts zenye muundo WA mayai ya dhahabu ambazo zilikuwa zinamilikiwa na Cleopatra (Ndio ni Yule Yule WA Misri) sasa wakati WA sakata la kifo cha Cleopatra yalipatikana mayai 2 na moja lilifichwa.

Sasa kwenye filamu hii kuna watu wanapewa kandarasi ya kutafuta hayo mayai yote matatu. Sasa kandarasi hii wanapewa wezi wakubwa WA artifacts Duniani ambao wanashindana Nani atayaoata kabla ya mwenzake huku wakiwa hatua moja Tu mbele ya polisi WA Interpol ambao wanawawinda Kwa udi na uvumba.

Humu Ndani kuna comedy, action, adventure na mystery kidogo. Kwa wale waliomzoea Gal Gadot na character yake ya Wonder Woman wanaweza wasimpende Sana humu. Ryan ameshazoeleka na Comedy zake pamoja na Dwayne ambaye naye siku za karibuni ameacha kuwa serious kwenye character yake.

Itafute na huenda ukaifurahia. Rating yangu ni 7/10
View attachment 2012581
ni hatari asee
 
Mi naona Dawyne alivoanza kuwa comic ndio anakuwa mtamu.
 
Hiv NETFLIX wanaproduce kumbe!
 
rate yangu ni 6/10 sema naipa 7/10 kama ww sababu kuu mbili .. yule binti mrembo alie act kama mpenz wa the rock.. na pia sababu ni yule mwivi maarufu alipokuwa analeta masikhara flan kwenye kila tukio

regards
 
Tangu wale wapuuzi waondoe vifurushi vya usiku hizi movie naziona kwa trailers tu na kula kwa masikio.
Na sidhani kama kuna mtandao uliobaki ambao unajali na kuhonor maisha ya popo kama zamani.

Siku nikipata fiber hizi line za simu nazipiga moto na majivu yake naenda kutupa baharini.
 
Back
Top Bottom