Natafuta mtu wa kuimba naye

Ninakipaji cha kuimba na kutunga nyimbo za gospel, tatizo sina mfadhili wa kuniwezesha kurekodi,hivyo naomba mtu anishirikishe hata kwenye nyimbo yake ili niweze kujitangaza
Ukija inbox nitakuelekeza kwa mtu naamini atakukubali
 
Back
Top Bottom