Naomba tafsiri ya wimbo wa Buzi ulioimbwa na Zuhura Shaaban

jeffvlar

JF-Expert Member
Jul 27, 2016
217
364
Wimbo huu ulitoka miaka mingi sana mimi nikiwa bado mdogo, umeimbwa na East Africa Melody, leo nimeusikia kwenye daladala na maneno nikayakumbuka kipindi hicho nikiwa mdogo.

Kwa sasa mengi sikuyaelewa, kwa sababu ilikua miaka ya nyuma inawezekana tafsiri ya maneno ikawa tofauti na sasa. Je miaka hiyo mistari ya wimbo huu ilimaanisha nini.
 
Back
Top Bottom