Kuna umuhimu mkubwa wa kufundishwa diplomasia kwa kila mzungumzaji kwenye hadhira iliyo na watu wa mataifa mbalimbali.
Unaweza kudhani unachekesha watu kumbe unaharibu.
Public speaking is an...
Kwa wale wafuatiliaji wa series ya hawkeye leo tarehe 8 dec 2021 wameachia episode ya 4 ndani ya series clint amekutana na kate bishop huyu binti naye anakiwasha kwelikweli.
Episode ya 5 inatoka...
Habari wakuu hii site inasifika kwa kupata movie au series kwa mb chache,bt kuhusu quality ni mbaya sna sijajua kama mm ndie nakosea nilijaribu kupakua season ya see episode moja kwa kwa option...
Kichwa cha mada chajieleza
nimefanikiwa kumiliki nyimbo kadhaa za kikongo (Zaire) za wasanii kadhaa ambazo natarajia kupitia uzi huu nitaanza kuzidondosha hapa kadri nitakapopata bando. Wasanii...
Mwaka juzi diamond akiohojiwa alisema kwamba anawazo la kuanzisha kampuni ya kubet lakini watu wengi walimcheka na wengine kumdhihaki kwamba hana huo uwezo leo hii rasmi ameitambulisha kampuni...
Kama unakumbuka ni mwaka 2019 tu hapo ambapo Kevin Hart alikuwa na ndoto yake kubwa tangu udogoni ya kuja kutangaza kwenye Tuzo kubwa za Oscar.
Wakati Tuzo zikiwa zimekaribia, bahati mbaya ama...
list yote kwenye picha hapo
Bila kusahau wameachia series ya hawkeye clint (jeremy renner) kakiwasha kwelikweli nipo episode ya 03 nazani wanaachia moja moja alafu sasa jamaa kumbe alipata shida...
American Top 40 [December 4, 2021]
======================================================
LW TW Artist-Title Peak So Far Weeks at #1 Weeks On
39 40 The Weeknd - Save Your Tears 01 [2 weeks @ #1]...
Wasalaam, mimi ni mfuasi wa Hip hop(Underground) na leo natumia haki yangu kikatiba kumtaja Msanii bora wa mziki huu kwa sasa hapa Tanzania.
Dizasta.....Kutoka kundi la Panorama,kwa sasa anafaa...
Binafsi sijaona alipokosea huyu dogo mpaka nyie mnaojiita majaji mumcheke na kumkejeli kiasi hiki.
Kwanza dogo hajapewa pace ya kuweza kufanya alichokusudia, yani ile ametoa sauti tuu majaji wote...
Tanzania sijaona MC mbunifu kama huyu jamaa,baada ya kufatilia video zake nyingi nimegundua hata Anord Kayanda Alikua na style hii.
Huyu jamaa nimemkubali zaidi kwa sababu anapenda rege kama...
Msanii Stamina ametoa album yake yenye nyimbo 13.
Kati ya hizo kuna wimbo unaitwa Nambie ameimba na Linah.
Kwenye wimbo kuna mstari wenye utata na maneno ya kejeli kwa Yesu.
Anaimba anasema...
Wazungu husema hivi "Once is an accident, twice is a coincidence and thrice is a pattern
Ule ukanda wa Afrika Magharibi wana kitu cha ziada ambacho nadhani hakionekani lakini kipo tu. Ukifuatilia...
Wadau wa JF hususani walio wahenga
Nawaletea mashairi ya wimbo maarufu wa mkongwe ayati Jim Reeves uitwao " He'll Have to go"
Nimejaribu kupata tafsriri yake nimeshindwa
Mwenye uwezo wa...
Kesho Tarehe 3 December 2021 ndio mwisho wa kuingia kambi ya Miss World baada ya nchi nyingi kupata changamoto ya kuchelewa kupata Visa ya Marekani kwa wakati. Miss World wakaongeza muda na...
Niliona watu wanaifagilia sana hii series wengine wanaishindanisha na money heist Ukweli ni kwamba tuache ushabiki hii series ni bora kuliko money heist
Hii series inaonyesha namna gani mtu yuko...
Kwakweli nimekuwa mpenzi wa muziki sana wa DRC na majirani zake, kiasi kwamba kwa umri nilio nao na hasa vijana wenzangu wananishangaa sana na kujiuliza maswali mengi.
Tokea nikiwa mdogo baba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.