Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

RIWAYA: UKURASA WA TISA NA: BAHATI K MWAMBA SIMU: 0758573660/0658564341 Sehemu moja maarufu ndani ya jiji la Dodoma kulikuwa na kundi kubwa la watu pembezoni mwa barabara wakiwa wamesimama...
3 Reactions
15 Replies
4K Views
Mi si mtaalamu wa mpangilio wa sauti kwenye muziki, ila nikisikiliza huu wimbo, naona umepangiliwa vizuri na hauchoshi kuusikiliza; najikuta mara kwa mara naurudia tu.
0 Reactions
4 Replies
873 Views
Waungwana naomba kuuliza eti Ni program gani naweza kuichukua play store ambayo inaedit picha na kuweka kama kiwingu kwa nyuma. Kwa mfano picha hii
0 Reactions
3 Replies
527 Views
Kuna nyimbo ya msanii wa muziki nimejaribu kuitafuta Shazam, hili ndo jibu, ina maana gani hii.
0 Reactions
3 Replies
951 Views
"Maisha yana changamoto nyingi sana. Nakumbuka mwaka 2019 Nilihamia kwenye nyumba moja huko kilakala. Hiyo siku nafika tu pale, nikamkuta mpangaji mwenzangu na akaniambia hapa ni jau yeye...
7 Reactions
19 Replies
2K Views
Album nzima ni mchiriku. Hakuna ngoma yenye uhai wa miaka 5 au 10 ijayo au hata maisha kabisa. Alikiba wa Cinderela sio huyu wa Ndombolo. Alikiba wa MacMuga sio huyu wa Salute. Alikiba wa...
4 Reactions
17 Replies
2K Views
RIWAYA: MLIO WA RISASI HARUSINI MTUNZI: Robert Heriel WhatsApp: 0693322300 Chungu cha 01 Alijitazama kwenye kioo kikubwa cha kabati akiwa chumbani kwake. Kila alipojitazama hakuona kasoro...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
" FORREST GUMP" Hii movie itakusaidia kujua kuwa hata mjinga anaweza kukufundisha kitu, ina mafunzo mengi mno ambayo yatakusaidia katika dunia. Kujua kuishi na watu, itakufunza kuwa hakuna ajuaye...
6 Reactions
9 Replies
2K Views
HILIKI YA CHUMBAGENI MWANDISHI: JOSEPH SHALUWA “BABY umeamkaje?” “Honey mzima?” “Mpenzi wangu umeshatoka hotelini?” “Laazizi wangu, jamani nakutumia text zote hizo na hujibu kitu, kuna nini?”...
3 Reactions
46 Replies
10K Views
Habari ndugu jamaa na rafiki...!! Karibu kusikiliza wimbo mpya. Tati ft Onesix - Mchungaji Produced by Binladen, Tongwe Records. Link [emoji1542] [emoji1542] Tati Injinia - Mchungaji free MP3...
1 Reactions
2 Replies
617 Views
Asee kama Wewe ni Mdau wa WestCoast Rap utakubaliana nami kwamba katika hii Album ya BODR(Back On Death Row) Snoop D O Double G kaupiga mwingi sana. Ni moja ya Album kali sanaaa... My favourite...
2 Reactions
10 Replies
701 Views
Siipendi BONDITA, Ila mwanangu mmoja wa kike, ambae mwaka huu anasoma darasa la nne, anaipenda Sana! Katu hapendi kuikosa! Kauli za BONDITA, "mume waangu, mume waangu!" Zinanitia hofu kuharibu...
8 Reactions
37 Replies
3K Views
Mimi ni mfuatiliaji sana wa movie toka kipindi cha kina Bruce Lee ,ila Kwa kweli sijawahi ona movie kali kama hii GoT na kitu nilichopenda kwenye hii movie ni matukio kuwa unpredictable, movie...
3 Reactions
7 Replies
786 Views
Asalaam... naomba km kuna mwenye nyimbo za taarab za zamani anitumie link
1 Reactions
99 Replies
183K Views
Wakuu, Kama title inavyotamba, basi. Kwa wale tunaofuatilia hiki kipindi kinachotafuta vijana wenye vipaji vya kuchekesha kwenye stand up comedy (CHEKA TU COMEDY SEARCH) cha wasafi tv tujuzane...
3 Reactions
33 Replies
6K Views
Wakuu awali napenda tumkumbuke kwenye maombi yetu msanii Joseph Haule alejee kwenye majukumu yake ya kila siku. Pia Jana tulikuwa twazungumza juu ya jay na ubishi ukaja nani mkali kati ya jay na...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
1 Reactions
3 Replies
739 Views
Hawa ndio wasanii wangu bora wa Reggae 1.Bob Nesta Marley 2.Bush Man 3.Buju Banton 4.Luciano Mafundi sana hawa kwa vocals na mashairi kuntu
6 Reactions
30 Replies
12K Views
Haya mashindano yamekuwa mazuri sana. Na nafikiri sekta ya Stand up comedy Tanzania ndiyo imezaliwa. Washiriki karibu wote walikuwa vizuri sana tofauti na wakina Pilipili, Idrisa na Bukuku. Hawa...
2 Reactions
6 Replies
3K Views
Back
Top Bottom