Game of Throne haijawahi tokea

Game of Throne haijawahi tokea

Mukuu123

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2019
Posts
319
Reaction score
1,227
Mimi ni mfuatiliaji sana wa movie toka kipindi cha kina Bruce Lee ,ila Kwa kweli sijawahi ona movie kali kama hii GoT na kitu nilichopenda kwenye hii movie ni matukio kuwa unpredictable, movie nyingi utakuta star yeye ndio hafi, star ndio akirusha ngumi moja watu nane wanakufa, matukio mengi anasurvive na kupendelewa kwenye scene nyingi lakini hii kitu mpaka unafika season 5 hujui star nani, unayehisi star unakuta kafa kifo kibaya, haitakuja tokea kama GoT na nimaangalia movie zote popular lakini haziwezi ifikia GoT.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom