Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Yaani mpaka muda itoshe kusema kwamba WCB ndio the best Music label Tena yenye ushawishi mkubwa kuliko zote katika ukanda wa Africa Mashariki na Kati. Kwa Tanzania zipo music Labels kadhaa ambazo...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Nakutajia baadhi ya nyimbo kali ambazo zilistahili kuwa kubwa lakini hazikupewa nafasi kwenye mainstream. All my love - Ryan Leslie Never die- DJ Drama Going down- DJ Drama Hiphop - DJ Khalid...
4 Reactions
29 Replies
6K Views
Wanajamvi Naomba msaada wa nyimbo za kiswahili za kusisimua/kuchochea feelings za kufanya sex. Nataka nimiliki hiyo midude kwenya simu yangu ili siku demu akija ndani hasa mida ya usiku,nawasha...
5 Reactions
31 Replies
7K Views
Habarini wanajamvi. Natumaini mko salama na mnaendelea vizuri na pilikapilika za kutafuta riziki. Mimi ni kijana wa kiume, naishi Dar es Salaam. Mimi ni mdau wa muziki na mtunzi wa nyimbo ingawa...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Kiukweli TZ tulibarikiwa sana vipaji kwenye kiwanda chetu cha muziki ( Bongo Fleva). Miaka ya nyuma tulikuwa na vipaji vingi sana lakini kadri miaka inavyozidi kwenye vipaji vinazidi kupotea...
8 Reactions
27 Replies
7K Views
Siku nyingi kidogo nimeacha kufatilia Hip-hop ya Bongo nadhani uzee unaninyemelea ubongo umeanza kupenda vitu laini, mara ya mwisho niliwasikiliza sana Tamaduni Music kina Nikki Mbishi, One...
7 Reactions
19 Replies
4K Views
WASANII WANGU 10 BORA WA HIP-HOP KUWAHI KUWASHUHUDIA HAPA BONGO. 1. PROFESA JAY 2. ALBERT MANGWAIR(r.i.p) 3. JAY MOE 4. JUMA NATURE 5. MWANA FA (Mwanafalsafa) 6. FID Q 7. AFANDE SELE 8. CHID BENZ...
1 Reactions
3 Replies
6K Views
YouTube wametoa orodha ya wasanii waliofanya vizuri kwa kupata watazamaji wengi mwezi February. WCB ( wasafi ) .......+ NLM (next level music). Wameendelea kukiwasha Orodha ni Kama ifuatavyo: 1...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Nani anamzidi mwenzake in terms of utunzi, mpangilio na ufundi wa upigaji vyombo pamoja na uimbaji
3 Reactions
5 Replies
921 Views
SIKU moja mbwa wa mwitu alikuja anywe katika kijito cha maji, akamkuta mwana kondoo mchanga akasimama karibu na kijito. Mbwa wa mwitu akataka kugombana naye apate kumua. Akamwambia, “Mbona...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
#TBT Kati ya hizi ngoma mbili,ni ngoma ambazo zimesumbua saana wakati ule je unaweza kuniambia ipi ilikuwa kali zaidi. Albert Mangwair ft Dark Master__SHE GOT GWAN. VS T.I.D ft Jay Moe_ZEZE...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari ndugu wananchi wa jamhuri ya Ukraine na Urusi. Nitangaze kuwa Mimi Ni mdau mkubwa wa vipindi vinavyorushwa na startime's channels St Swahili na St Mambo. Kilichonileta hapa jukwaani Ni...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
50 CENT, GHETTO ECONOMICS NA MUZIKI WA RAP - 2 YO! Peace, Karibu ufuatilie sehemu ya pili ya mfululizo wa maandishi juu ya 50 Cent, Ghetto Economics na Muzikiwa Rap. Maandishi haya...
6 Reactions
3 Replies
2K Views
Njaa ilipozidi huko Gombe, wazee wakakaa kikao ili kupata ufumbuzi. Baada ya majadiliano ya muda mrefu, wakakubaliana watafute sokwe mrembo. Wamkate mkia na kumremba na kisha wamuoze kwa binadamu...
5 Reactions
17 Replies
2K Views
Nimepita twitter nimeona kuna mtu amemtaja Arturito wa kwenye TV Series ya Money Heist kama "character" ambaye amewahi kumchukia tangu aanze kuangalia "movies" na "tv series". Inawezekana wapo...
11 Reactions
115 Replies
11K Views
Simulizi : ELIZABETH NEVILLE Mwandishi : HALFANY SUDY Imeletwa kwenu na: BURE SERIES SEHEMU YA 1 Ni asubuhi na mapema ndani ya mji wa Mafinga uliopo mkoani Iringa, Tanzania. Baridi likiwa kali...
8 Reactions
125 Replies
21K Views
Peaky blinders season 6 ni gangster TV show ambayo itakuwa ndio mwisho wa series hiyo na kama ilivyoonekana uhusika wa Tommy toka mwanzoni wa series alikuwa mtu aliyefanya maovu/uhalifu kwa lengo...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Kwema ndugu zangu wana jf Ikiwa ni siku mbili tangu msanii nasibu Abdul almaarufu diamond platnums kuachia wimbo wake unaitwa The one ambao unafanya vizuri Sana ndani ya siku moja umefikisha...
2 Reactions
54 Replies
9K Views
At their peaks Albert Mangwair na Chid Benz nani hatari zaidi? #forgive Me.
1 Reactions
11 Replies
1K Views
MTUNZI R.S.S Dondoo; Wengi walinifahamu kwa jina la shaky (23)au tom boe licha ya mama angu kunipa jina la shakira lakin mtaan hawakupendelea kuniita shakira kwajinsi nilivyokuwa najiweka I...
1 Reactions
17 Replies
5K Views
Back
Top Bottom