Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Naomba mwenye playlist ya nyimbo za gospel zinapigwa kwenye masherehe (harusi) plus na zile za zamani kama vile "eeh yahwe simbanga, hakuna Mungu kama wewe, ni kwa neema. Natanguliza Shukrani
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Kwa wale wapenzi wa nyimbo za injili, tukutane huku kwenye hii website ya nyimbozainjili bado matengenezo yanaendelea, hususani muonekano, lakini unaweza kusikiliza Gospel. Injili lazima...
9 Reactions
62 Replies
50K Views
Wale wakongwe wenzangu watakubaliana nami kuwa Hip Hop ya Bongo haikuwa nyuma katika mistari makini ,majigambo na style za kutisha. Kwa sasa wapo vijana wanaoweza kuuendeleza Music huu hapa Bongo...
4 Reactions
189 Replies
63K Views
Wakuu naomba mtu alie na huu wimbo tafadhali uliimbwa kwenye miaka ya mwanzo ya 2000. Ukazuiliwa na watetezi wa haki za wanawake... remix yake nadhani ilikuwa ni genda heka. =======
0 Reactions
17 Replies
9K Views
KABURINI AMA GEREZANI! NA; BAHATI MWAMBA SIMU; 0658564341/0758573660. 1: KIKAO… Ilikuwa ni ndani ya baa moja maarufu sana ndani ya jiji la Dar es laam, baa ambayo milango yake haikuwahi...
2 Reactions
19 Replies
5K Views
Pamoja na Tanzania kukubalika na wengi kwamba imeishikilia bendera ya rap ya Afrika Mashariki kwa historia yake yote, mchango wa hawa jamaa kwenye sanaa si wa kubeza. Saigon was in his bag on...
0 Reactions
0 Replies
511 Views
Kwakweli nisiwe mnafiki,zipo nyimbo nyingi sana zinazopendeza kusikiliza. Ila ukweli mchungu R kelly katika safari ya maisha yake,hii nyimbo "YOUR BODY 's CALLING "" nibonge mojaa la nyimbo,hasa...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Congratulations I have a message for you God has sent me to you Listen Say you can never be the one But God make I tell you say Say now you him choose In one month in one week You will sing a...
3 Reactions
3 Replies
742 Views
CHORUS: hii ni kwa wote mademu watafutaji, hii ni kwa wote mademu watafutaji, zidisha nguvu kwenye kazi, watafutaji, sasa nasema nao nyie, watafutaji, zidisha nguvu kwenye kazi, watafutaji. sasa...
0 Reactions
3 Replies
979 Views
Anaejua jina lake na msanii aliyeimba aniambie unaitwaje?! Maana nimehangaika sana bila mafanikio
1 Reactions
0 Replies
475 Views
Wema wa BWANA na fadhili zake zinanitosha, Kukaa nyumbani mwake MUNGU wangu, siku zote za Maisha yangu! Siangalii wanadamu, Namuangalia MUNGU wangu peke yake! Aweza kunitoa kwenye shida, na...
1 Reactions
7 Replies
10K Views
Nyie kuna huu wimbo unaitwa NENDA wa msanii mmoja anaitwa STRONG DADY huyu msanii ni Upcoming ila balaa lake sio dogo jamani. Mimi nimeguswa sana na huu wimbo wa huyu msanii STRONG DADY wimbo...
1 Reactions
1 Replies
843 Views
PENZI LA PENINA Chapter 1 Oh lameck tulia bas tusifanyie hapa.... Unaona sasa wanatukuta watu... Usifanye hivo basi mpenzi...... Haya weka basi mara moja oh nilishutuka toka ndotoni.. Ilikuwa ni...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
IMESIMULIWA NA DOKTA MUNGWA KABILI SIMU : 0744 - 000 473 . MISUKULE WA NGUVU ZA KIUME Msukule ni nini ? Msukule ni mtu au sehemu ya mtu iliyo chukuliwa na...
0 Reactions
22 Replies
18K Views
Angalia utoe marks kwa director wa hii ngoma Dark horse-Katy Perry feat Juicy J, Una views 3,279,761,229
1 Reactions
2 Replies
619 Views
VERSE 01; kimo cha hekima za ndugu sasa ni dhaifu, imani zao chache na wamekosa uaminifu, wako radhi kuua ndugu na kumdhulumu mkufu, au kama si kumuua basi watamuacha na upofu, wakati tafsiri wa...
11 Reactions
18 Replies
4K Views
Watoto wa mjini Dar waliamshwa na magoma hayo. Kama ukucheza hayo na umri wako wa Sasa ni 40-50 elewa wewe sio wa mjini. Sitaki kusema majina ya watu wenye majina yao maana leo wapo kivingine...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Kuna hizi music streaming platforms kama spotify nk. Mfano hawa spotify wanacharge 6,000 kwa mwezi. Unaweza lipia kustream music?
0 Reactions
4 Replies
568 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…