msukule mzembe
JF-Expert Member
- Apr 28, 2022
- 296
- 375
PENZI LA PENINA
Chapter 1
Oh lameck tulia bas tusifanyie hapa.... Unaona sasa wanatukuta watu... Usifanye hivo basi mpenzi...... Haya weka basi mara moja oh nilishutuka toka ndotoni..
Ilikuwa ni ndoto majira ya saa tisa usiku natafakari sana juu ya msichana mrembo sana mbaka nafikia kiasi cha kumuota... Jina langu naitwa lameck naish kijiji kimoja pembeni kidg ya ya jiji maarufu san kijiji cha wakati...
Usiku ule nilishindwa kulala kabisa sababu nateseka juu ya msichana, hisia zangu zimekuwa kuntu sana kwake lakin kwa ajili ya kitu kidogo san ndo nateseka
Nimekuwa muoga san kuzielezea hisia zangu juu yake kiswahili cha mtaani wanaita domo zege
Mawazo yananiandama juu ya tatizo langu na mtu ninaye mpenda siendani nae...
Ghafla alikuja mjomba ninae ishi nae kunitazam maana nilikuwa nikijigeuza tu kweny mkeka
Hujalala tu au ndoto zimeanza kukusumbua tena aliuliza mjomba
Ah aah haha hamna mjomb nimesh shi shtuka usingizn nilijibu kwa kigugumizi san
Lala kesho tuwah kibaruani
Saw mjomba bas nilianza safari ya kuutafuta usingizi ten
Nilishtuliwa na saut ya mjomba iliy kuj kwa ukali mno
We unalal mbk saiv utakula nin?
Nilikurupuka mkekani oh ilikuwa sa nne asubuh nilifika nje nkakutana na mjomba
Oh maskini umekojoa tena mkekani, fasta nilivishwa makopo na kuanza kuzungushwa mtaani huku nikizomewa na watoto kikojozi eeh kikojozi.....
ITAENDELEA
BY msukule mzembe 0687............