Nipo home nasikiliza nyimbo za R kelly

Mrisho com

JF-Expert Member
May 2, 2015
3,884
3,910
Kwakweli nisiwe mnafiki,zipo nyimbo nyingi sana zinazopendeza kusikiliza.

Ila ukweli mchungu R kelly katika safari ya maisha yake,hii nyimbo "YOUR BODY 's CALLING "" nibonge mojaa la nyimbo,hasa credit kwa muandaaji,ni miongoni mwa beats bora zaidi kuwahi kutokea duniani.



YANGU NI HAYO.
 
I see the light at the end of the tunnel
And I can feel heaven in its place

if we believe, we can achieve anything
Including the impossible, this I know
So let's lift up our heads,
And scream like you want to win now let the games begin



That's the sign of victory
 
Sikiliza Album ya TP2. COM Huyu jamaa alikuwa mchawi wa huu mziki! Ni classic album halaf rud kwa JOE sikiliza MU NANE IS JOE pia ipo classic malizia weakiend yako na BRIAN Mcknight. Album BACK AT THE ONE!
When music was real
 
Waendesha mashtaka wa shirikisho New York Marekani wamependekeza Mwimbaji R Kelly ahukumiwe kifungo cha zaidi ya miaka 25 jela kulingana na hati ya hukumu iliyowasilishwa Mahakamani juu ya mashitaka yanayomkabili yaliyosababisha athari kwa Wanawake/Wasichana. #MillardAyoUPDATES https://t.co/ry7s8IesX0
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom