Jesca_love
New Member
- Jun 6, 2022
- 1
- 1
Nyie kuna huu wimbo unaitwa NENDA wa msanii mmoja anaitwa STRONG DADY huyu msanii ni Upcoming ila balaa lake sio dogo jamani.
Mimi nimeguswa sana na huu wimbo wa huyu msanii STRONG DADY wimbo unaoitwa NENDA
Je, wadau wenzangu mnaupa max ngapi huu wimbo?! Naona unakuja kushika kwa kasi sana kipindi hiki.
Kama bado hujasikiliza hebu pitia Youtube Link hii [emoji116]
Sikiliza kisha njoo utuambie nawewe huu wimbo umekugusa kwa kiasi gani??!