Duuuh[emoji28][emoji28] nina blackseeds oil.
Hawa washkaji wapo zao hapa Dar Ukonga Mombasa ni vinyozi wazuri kwa sasa wana saloon yao hapo Mombasa.Wakuu naomba mtu alie na huu wimbo tafadhari uliimbwa kwenye miaka ya mwanzo ya 2000. Ukazuiliwa na watetezi wa haki za wanawake... remix yake nadhani ilikuwa ni genda heka
Wakuu naomba mtu alie na huu wimbo tafadhari uliimbwa kwenye miaka ya mwanzo ya 2000. Ukazuiliwa na watetezi wa haki za wanawake... remix yake nadhani ilikuwa ni genda heka
Safi sana mkuu, kitu kimetulia sana