Wapenzi wa nyimbo za injili tukutane hapa

Kwa wale wapenzi wa nyimbo za injili, tukutane huku kwenye hii website ya nyimbozainjili

bado matengenezo yanaendelea, hususani muonekano, lakini unaweza kusikiliza Gospel.

Injili lazima isonge mbele.

Isiishie tu kusikilizisha gospel music bali kuzisaka zote zilizovuma tangu enzi na enzi ili kuwa na hazina ya kutosha
 
Yes mkuu, Database itakuwa kubwa sana.

Naomba usikose zifuatazo
  1. St James Arusha - Anglican (kuna kwaya mbili mle kanisani)
  2. Kwaya Kuu Arusha - KKKT
  3. Kwaya ya Vijana ya Uinjilisti Arusha - KKKT
  4. Huduma Upendo Dodoma (sina hakika na jina lao) - Anglican
  5. Makongoro - AIC (sina uhakika na jina)
  6. Kwaya ya Vijana Forest Mbeya - KKKT
  7. Kana Tanga
  8. Wapenzi wengine wa gospel music za zamani watajazia
 
KKKT vijana Makongorosi chunya
AICT vijana Chang'ombe
Majasusi Moshi
Kwaya ya KKKT patandi
Kwaya ya vijana KKKT mabibo
Upendo Choir KKKT Shy
Usimsahau Faustin Munisi
 
Wakuu naombeni msaada anayefahamu jina la wimbo wa dini wenye maneno haya "huku kupanga n kwa leo, kesho nitajenga kwangu"
 
Feb 2019
Krystaal Music with World Vision Canada The Shack Movie Tour with Author Paul Young 9 Cities in Southern Ontario, Canada
Song : More and More live
 
Similar Discussions

9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom