Mambo haya mawili nimekuomba Mungu

Mambo haya mawili nimekuomba Mungu

sepema

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2019
Posts
603
Reaction score
1,011
Wakuu salaam kwenu...
Jumapili ya leo nimevutiwa Sana namaneno ya wimbo wa kwaya ya uinjilisti Arusha mjini.Wimbo niwazamani kidogo Ila maneno na ujumbe wake upo imara;
Mambo haya mawili,nimekuomba Mungu
Usininyime matatu,kabla sijafa..
Uniondolee ubatili na uongo..usinipe utajiri Wala umasikini,
Unilishe chakula kilicho kadri yangu,
Nisije nikashiba,nikakukana
Wala nisiwe masikini sana,nikaiba.

Wapenzi wanyimbo zakwaya...nisaidieni namna ya kupat audio za nyimbo hizi.
 
Ndio maisha wengi tunayatamani,Mwenyezi Mungu atupe kwa kiasi ila akinijalia utajiri sitaukataa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom