Imekuja kuwa series mbovu kuliko nyingi sana, waiharibu baada ya kulazimisha iwe na mwendelezoAngalia the 100,hayo ndo maoni yangu.
Haya tutatazama insyuka..🤣Imekuja kuwa series mbovu kuliko nyingi sana, waiharibu baada ya kulazimisha iwe na mwendelezo
The 100 Kali iliishia season 3 tu, huko mbele hapana aisee
Nani anataka kaungalia episode 3000.Mbona wahindi series zao hazizungumziw
Angalia the 100,hayo ndo maoni yangu.
24 hours hukuwahi kuicheki?Kuna series huwa zinabaki kuwa bora kwangu miaka yote kama
- Game of Thrones (GOT)
- Vikings
- The Blacklist
- Macgyver
- Strike back
- Scorpion
- Seal Team
- Into the Badlands
Sasa hivi nipo nacheki The last resort, Designated survivor na Agent x
Bado24 hours hukuwahi kuicheki?
Nani anataka kaungalia episode 3000.