Boaz Nakal
New Member
- Jun 22, 2022
- 3
- 0
Karibu kwenye uzi huu maalumu kabisa. Hapa utapata fursa ya kujifunza vitu mbalimbali vitakavyo kusaidia kukua kiufahamu: kiroho, kiakili, kiuchumi, kimahusiano nk. Ili uwe mtu wa mguso na matokeo yanayoshikika.
Katika uzi huu utapata nafasi ya kusoma vitabu na kupata mafundsho mbalimbali yatakayo badili maisha yako.
Kwa kuanza tutaanza na kitabu kinaitwa seven habits of highly effective people, tutasoma na kukichambua kwa pamoja.
Pata nafasi ya kusoma kitabu hikiView attachment 01-11-2020-212827The 7 Habits of Highly Effective People.pdf