Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Binafsi niseme tu hawa waheshimiwa Tx-Moshi, Mzee Gurumo, Mbwembwe, Mzee Mabera, Mahina, Momba na wengine ambao sikuwataja na bendi zao walifanya kazi kubwa kwani mziki wao bado unaishi kwa...
1 Reactions
1 Replies
510 Views
SSERIES NZURI ZA 2022 - 1. House of the Dragon Season 1 2. Better Call Saul Season 6 3. Andor Season 1 4. The Boys Season 3 5. Ozark Season 4 6. Top Boy Season 4 7. Obi-Wan Kenobi Season 1 8. Tom...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nadhani tunakubaliana kwamba kwenye kila, "usiniseme, kama napenda kula" au "Namtafuta Bata wangu yule wa Rangi Nyeusi" pia kuna ma-genius wanakuja na kazi ambazo maneno yake yamepangika na yana...
3 Reactions
114 Replies
18K Views
NTAGAMBI.......19 Mtunzi; Lovi Pius Kijogoo. 0757 238 304.( WHATSAP ) Tanga. SEHEMU YA KUMI NA TISA.. ( 19 ) ILIPOISHIA...... Alipoinua kichwa Ntagambi, kwa mbali aliona Jengo la mfalme...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Oy wadau sikilizen hii kamba halafu mniambie kaimba nan huwa naisaka sana,ila Leo nimeikuta club nikairekodi niambien niidownload fasta
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Ukisikia Rap...ni michano, kuchana, kufloo,nk. Ni aina ya ushairi mbaya... Yani huwezi kulinganisha mashairi ya Shaaban Robert na mashairi ya Young lunya au fid q. Mashairi ya Rap mara nyingi...
2 Reactions
45 Replies
5K Views
Huwa napenda kujifunza mengi kuhusu filamu kwa sababu najiandaa kuingia kweynye ulimwengu huo hivi karibuni. Huwa najiuliza ni kitu gani hufanya Bongo Muvi kutokuwa na mvuto wa kuangalia? Nini...
5 Reactions
10 Replies
3K Views
NB: Sio movie, ni series yenye episodes.
0 Reactions
1 Replies
758 Views
1- taylor swift anti hero 2- mbosso huyu hapa 3- SZA nobody gets me 4- kizz daniel cough 5- Drake ft 21savage Rich flex 6- The weekend die for you 7- rema ft sele gomez calm down 8- the kid...
4 Reactions
8 Replies
890 Views
Mfanyabiashara na Meneja wa Masuala ya Sanaa nchini, Sallam SK Mendez, amefunguka kuhusu taarifa za mtandaoni zinazodai kuwa ameiacha Lebo ya Wasafi Record ya Diamond Platnumz (WCB) kujiunga lebo...
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Washaimba wasanii nyimbo nyingi kuelezea nafasi ya mwanamke katika jamii, Washaandika waandishi wengi wa hadithi na vitabu kuhusu nafasi ya mwanamke katika jamii. Serikali na asasi za kiraia...
2 Reactions
7 Replies
666 Views
Ni series ya muendelezo wa ile iliyo tangulia ya game of thrones kutoka HBO.. Series ime base na House Tygaryan ambao ni dragons rider na rulers wa Seven Kingdoms za westoras ambao ki asiri wao...
5 Reactions
9 Replies
2K Views
Best of Late 90s + Early 2000s Hip-Hop & R&B - YouTube old school (80's & 90's) hip hop/rap/r&b - YouTube Tukumbushane ulizozikubali zaidi
2 Reactions
194 Replies
44K Views
Katika wimbo wa Dulla Makabila wa Pita huku, kaelelezea hukumu ya adhabu ya moto wa milele. Kwamba hukumu hii inaweza kumpata yeyote kutegemea na matendo yake maovu aliyoyafanya hapa Duniani...
11 Reactions
118 Replies
9K Views
Wakuu amani itokayo juu iwe nanyi. Amina. Nashauri miziki ya baongo fleva na bolingo iwe rated above 18 ili iwekwe mbali na watoto. Huwa nasikitika sana kula niwapo safarini kuona aina ya miziki...
5 Reactions
7 Replies
1K Views
Namuona mwanamama wetu mkongwe kwenye ubora wake😁. Hivi huyu mama ana umri gani? Album inaitwa Secret Agenda.
-1 Reactions
13 Replies
1K Views
Mwenye nyimbo za album ya Rose muhando zawadi ya Christmas anisaidie au kama kuna link naweza kuzipata naomba ushare namimi.
0 Reactions
1 Replies
663 Views
Tumezoea kuona drama au series za Korea.Ila ni mara chache kusikia watu wakiongelea movie za Korea,au wengine hua wanaziona ila wanadhani zinatoka China. Movie za Korea zipo na zinafanya vizur...
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…