VoiceOfReason
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,194
- 1,375
Nadhani tunakubaliana kwamba kwenye kila, "usiniseme, kama napenda kula" au "Namtafuta Bata wangu yule wa Rangi Nyeusi"
pia kuna ma-genius wanakuja na kazi ambazo maneno yake yamepangika na yana ujumbe uliokwenda shule... mfano:-
pia kuna ma-genius wanakuja na kazi ambazo maneno yake yamepangika na yana ujumbe uliokwenda shule... mfano:-
rafiki sio urafiki usipochanganywa na Kazi/
Mlango sio mlango hadi ufungwe au uachwe wazi/
haupaswi kumuamini Muongo hata kama akiongea Ukweli/
ni Dhambi kutumia Dini kama njia ya kututapeli/
wanajiingizia kipato kwa kimvuli cha misaada/
hawatufunzi tuwe Viongozi labda Viongozi wakuwafata/
FID Q Propaganda
ogopa kuoa haraka kama unaogopa talaka/
na ukivote in a hurry ujue unaproduce corruption/
maneno yao ni matamu lakini midomo yao inanuka/
ukipewa usisahau,ukitoa TOA bila kukumbuka/
usihofie kupitwa ilimradi muda haukuachi/
amini kesho itafika kama ipo ili uipate/
FiD Q Propaganda
Wanajamvi tukumbushane Music Lines zilizokwenda Shule....Water Runs Dry lyrics
We don't even talk anymore
And we don't even know what we argue about
Don't even say I love you no more
Cause sayin' how we feel is no longer allowed
Some people will work things out
And some just don't know how to change
Let's don't wait till the water runs dry
We might watch our whole lives pass us by
Let's don't wait till the water runs dry
We'll make the biggest mistake of our lives
Don't do it baby