Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Unaitwa "Tizita" na ameimba mwanamama anaitwa Aster Aweke. Naupenda sana kwenye melody yake na unanipaisha sana. Sasa usijekuta anazungumzia kilimo au baa la njaa huko kwao nami naweka fantasy...
1 Reactions
10 Replies
609 Views
Wadau habari.Kuna ngoma YA zamani sana aliimba Bugz Malone na D Rob.Bugz alikuwa anachana kingereza D Rob alipita na chorus YA kiswahili.Ngoma hii naitafuta sana,mwenye nayo afanye kushare
2 Reactions
1 Replies
454 Views
Silimulizi : Msako Wa Mwanaharamu Sehemu Ya Kwanza (1) Katika Pori fulani huko BAGAMOYO PORI LILIONEKANA TUPU, hakukuwa na kipya zaidi ya miti ileile ya kila siku, kila mmoja ukiwa mahala pake...
1 Reactions
6 Replies
5K Views
Katika Maisha yangu nimeona bongo movie nzuri lakini sijawahi kuona filamu nzuri ya kitanzania zaidi ya furaha iko wapi by 20%.
2 Reactions
7 Replies
6K Views
Kutoka Dstv I would rank the series kama hivi; 1. Jua kali [emoji1241] 2. Selina [emoji1139] 3. Sanura [emoji1139] 4. Kina [emoji1139] 5. Huba [emoji1241] Tanzania tuongeze juhudi, Wakenya...
0 Reactions
7 Replies
994 Views
1. I LOVE YOU – CATHOLIC MT. THERESIA Hii nyimbo kama wahusika walifanya mazoezi ndipo wakaenda shoot video basi walifanya mazoezi ipasavyo.Nimependa jinsi wanavyocheza mwanzo mpaka...
21 Reactions
80 Replies
14K Views
Tafadhalini sana wakongwe kuna wimbo uliimbwa sikumbuki kama msondo ngoma au band gani ila KIITIKIO jamaa kwa sauti kali yenye kipaji cha hali ya juu aliimba "Hili ndilo fundisho kwa wengine...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Huh Nina washkaji home dili ikija wanapindisha sera Inawaumiza napopiga hela Wote wanangu bado sijawahi wapinga jambo Hata wakificha Cargo Bado nawapa hi ‘cause we best friends Wapo wavivu wapatwe...
5 Reactions
1 Replies
772 Views
Kwa wasiofuatilia wanaweza kudhani Msuguano baina ya Nas na Jay Z unaendelea lakini nikuambie tu ya kuwa mtafaruk wao ulishakwisha zamani sana. Awali familia zao zilihusishwa kwenye michano na...
8 Reactions
12 Replies
2K Views
  • Poll Poll
Salamu nazitia kapuni naenda moja kwa moja kwenye mada. Je, mziki wa Tanzania (BongoFleva) unaweza kutusua na kuwekewa category yake pekee kwenye platform kubwa za mziki kama Billboard Hot...
0 Reactions
0 Replies
365 Views
Kiukweli huyu jamaa anajua mnoo ameandaa tamthilia kadhaa kama vile saluni ya mama kimbo, Kombolela na sasa tamthilia ya zahanati ya kijiji. Mwisho natoa rai kwa waongozaji wengine wa tamthilia...
2 Reactions
16 Replies
3K Views
Wana hip hop hamjambo? Aisee hii diss ya dkk 8 ya DIZASTA VINA ni balaa, mtoto RAPCHA amechanwa mno umo ndani. Siku zingine apunguze kiherehere, maradona DIZASTA ni moto sana kwa kizazi iki kwa...
3 Reactions
2 Replies
1K Views
Nakumbuka kuanzia miaka ya 1990 Hadi 2006 na sita hivi, nilikuwa napenda Sana movie za kihindi... My favorite actor ni mzee mzima Sunny Deol... My favorite movie inaitwa Ziddi... Je, wewe ndugu...
2 Reactions
26 Replies
4K Views
Kwa wale wapenzi wa nyimbo za Kongo, Mfalme JEAN BEDEL MPIANA wa TSHITUKA aka PAPAA CHERII aka MUKULU aka SOUVEREIN 1er aka BIN ADAM aka LEADER CHARISMATIQUE aka MOTO PAMBA ameamua kutuzawadia...
2 Reactions
0 Replies
511 Views
MTUNZI:MSANII JOTO LA MOTO SEHEMU YA KWANZA MSITUNI-JIONI Hali ya utulivu imetawala, huku sauti za Ndege na mivumo ya matawi ya miti inayopulizwa na upepo ikisikika, mara unasikika MNGURUMO WA...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
SIMULIZI: NILIVYOMPA MIMBA BINTI WA KAZI, IKATUNGA NJE YA KIZAZI. SEHEMU YA KWANZA (01) MTUNZI @middotz_ “Aisee kumbe hivi ndio watu hukataa mimba! ndio nagundua leo ukiwa hujajipanga” Jina...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
DRUG LORDS Wanasiasa walilalamika! Wafanyabiashara walilalamika! Viongozi wa dini walilalamika! Kila mtu alilalamika Yes! Mtu yeyote aliyekuwa kwenye ile orodha alilalamika. Msingi wa...
6 Reactions
7 Replies
2K Views
Ni kama ule ubishani nani msanii bora Kati ya lucky dube na Bob Marley unashangaza kidogo japo kwangu lucky dude ni msanii bora kuliko Bob Marley the same kwa madilu systerm na franco luambo...
0 Reactions
1 Replies
977 Views
Niaje, najua wengi wetu tuna ka addiction flani kwenye hii tasnia mi nikiwa na ulevi kabisa wa hizi Mambo. Najua tunatofautiana hasa kwenye categories za games tunazopendelea, upande wangu...
2 Reactions
9 Replies
3K Views
Back
Top Bottom