Ushauri: Kwa wapenzi wa video games kwenye simu

Chiblak

JF-Expert Member
Jul 3, 2014
626
852
Niaje, najua wengi wetu tuna ka addiction flani kwenye hii tasnia mi nikiwa na ulevi kabisa wa hizi Mambo.

Najua tunatofautiana hasa kwenye categories za games tunazopendelea, upande wangu napendelea sports, action na simulation. Hii ni list yangu pendwa kila naponunua device mpya.

SPORTS

Upande wa sports Kuna game kadhaa utaenjoy

1. DREAM LEAGUE SOCCER
Kama ww unapenda football games na hujawahi kuwa na hii game unayumba..Kuanzia reality, strategies, kununua na kuuza wachezaji, gameplay yake na kadhalika.. Hii kitu ni noma try it and you will never regret... Ukubwa ni Kama MBs 500 tu.

2. REAL BOXING
Kwa wazee wa masumbwi Kuna huu mzigo..
Kwanza inakulazimu kuingia Gym Mara kwa mara ili kuongeza uwezo wako na kila unapoingia gym unapewa limited free access ambayo ikiisha and you wish to continue itakupasa ulipie kwa coins unazopata kwa kushinda mapambano.

Kila unaposhinda pambano unazidi panda kwenye ranks.
Kuna vifaa mbalimbali vya ku purchase Kama gloves n.k ambavyo navyo hukuongezea uwezo kadri ununuapo vilivyo bora zaidi.
Try it.

ACTION
Hapa ndio usiongee yapo mengi ila my best are contract killer na wwII. Hizi ukiachana na kuwa first person shooter with variety of guns i.e assault riffles, sniper riffles na extra weapons such as knives, viazi n.k pia unapata access ya ku operate vifaa vingine vya kimapigano Kama tanks n.k.

Pia Kuna kitu inaitwa AIR FIGHTERS hii Kama mpenzi wa hizi jet fighters itakupa SoMo from take off iwe ni toka uwanja wa ndege wa kawaida au from Carrier , in fight mode, kukwepa radar , acrobatic manoeuvre, kuachia flares mpaka kutua uwanja wa ndege au kwenye carrier utaenjoy.
Have it by yourself.

SIMULATION
Kuna simulation games za aina mbalimbali Kuanzia za ku operate commercial planes, cargo trucks n.k ila my favorite ni truck simulator by ouvidou.. Aisee realistic interiors, trucks, roads options za cargo unayotaka na malipo yake..

Most of all unaweza kuanzisha kampuni yako ukaajiri madereva ukapokea orders na kuwatuma kujiongezea kipato kwenye X company yako.

Chukua hiyo.

NB:
Wakati tozo zinakaribia kuwekwa Hadi kwenye fresh air tunayovuta hapa Tz take ya free time ku enjoy your last happy days.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Zina mb ngapi ngapi..tuanzie hapo...

Then zinacheza kwa simu aina gani

Mwisho ni za bure au kulipia

N.b hauna namba ya pisi kali yeyote hapo nimzingue zingue
 
Yenye ukubwa zaid hapo ni contract killer yenye 1.5 to 2 gb hzo nyingine ni kawaida mb 300 to 500. Kuhusu simu utaenjoy zaidi ukiwa na simu ya Kuanzia ram 4gb japo hata 2gb zinaweza sukuma mzigo na mwisho zote ni free.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Niaje, najua wengi wetu tuna ka addiction flani kwenye hii tasnia mi nikiwa na ulevi kabisa wa hizi Mambo.

Najua tunatofautiana hasa kwenye categories za games tunazopendelea, upande wangu napendelea sports, action na simulation. Hii ni list yangu pendwa kila naponunua device mpya.

SPORTS

Upande wa sports Kuna game kadhaa utaenjoy

1. DREAM LEAGUE SOCCER
Kama ww unapenda football games na hujawahi kuwa na hii game unayumba..Kuanzia reality, strategies, kununua na kuuza wachezaji, gameplay yake na kadhalika.. Hii kitu ni noma try it and you will never regret... Ukubwa ni Kama MBs 500 tu.

2. REAL BOXING
Kwa wazee wa masumbwi Kuna huu mzigo..
Kwanza inakulazimu kuingia Gym Mara kwa mara ili kuongeza uwezo wako na kila unapoingia gym unapewa limited free access ambayo ikiisha and you wish to continue itakupasa ulipie kwa coins unazopata kwa kushinda mapambano.

Kila unaposhinda pambano unazidi panda kwenye ranks.
Kuna vifaa mbalimbali vya ku purchase Kama gloves n.k ambavyo navyo hukuongezea uwezo kadri ununuapo vilivyo bora zaidi.
Try it.

ACTION
Hapa ndio usiongee yapo mengi ila my best are contract killer na wwII. Hizi ukiachana na kuwa first person shooter with variety of guns i.e assault riffles, sniper riffles na extra weapons such as knives, viazi n.k pia unapata access ya ku operate vifaa vingine vya kimapigano Kama tanks n.k.

Pia Kuna kitu inaitwa AIR FIGHTERS hii Kama mpenzi wa hizi jet fighters itakupa SoMo from take off iwe ni toka uwanja wa ndege wa kawaida au from Carrier , in fight mode, kukwepa radar , acrobatic manoeuvre, kuachia flares mpaka kutua uwanja wa ndege au kwenye carrier utaenjoy.
Have it by yourself.

SIMULATION
Kuna simulation games za aina mbalimbali Kuanzia za ku operate commercial planes, cargo trucks n.k ila my favorite ni truck simulator by ouvidou.. Aisee realistic interiors, trucks, roads options za cargo unayotaka na malipo yake..

Most of all unaweza kuanzisha kampuni yako ukaajiri madereva ukapokea orders na kuwatuma kujiongezea kipato kwenye X company yako.

Chukua hiyo.

NB:
Wakati tozo zinakaribia kuwekwa Hadi kwenye fresh air tunayovuta hapa Tz take ya free time ku enjoy your last happy days.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Katika hayo magemu uliyoyataja hapo, lipi ni la kucheza offline? Hasa kwenye huo upande wa Action games
 
Siku ukigusa "Shadow fight 2 " halafu ukamalizia na 3 ...hayo mengine utatupa kule

da enzi hizooo Sina job ki viiiile....
 
Back
Top Bottom