Nilivyompa mimba binti wa kazi ikatunga nje ya kizazi

Man Middo tz

Senior Member
Sep 9, 2020
154
230
SIMULIZI: NILIVYOMPA MIMBA BINTI WA KAZI, IKATUNGA NJE YA KIZAZI.
SEHEMU YA KWANZA (01)
MTUNZI @middotz_

“Aisee kumbe hivi ndio watu hukataa mimba! ndio nagundua leo ukiwa hujajipanga”

Jina langu naitwa Shamsi Kassim, naishi kitunda Dar es salaam. Professional yangu ni mwalimu ingawa kwasasa mimi ni wakala.

Nimepanga nipo na mdogo wangu mmoja kwa jina Jafari lakini tupo na brother wetu ambae ndio kama mlezi hapo mtaani ila yeye ana kwake, bro wetu anaitwa Ashraf.

Huyu binti anatokea kijijini kwetu, Kama ujuavyo watoto wa kike kukua haraka. Dogo anaishi mtaa ninaoishi, ila yeye anafanya kazi za ndani.

Huyu binti nilimuacha kijijinibado hajapevuka vizuri, sasa uku mjini kumbe kakua hadi nimemsahau.

Basi siku moja nikiwa napita mtaani naenda zangu mishe nikapita mtaa anaoishi, kipindi hicho napiga ishu za ujenzi.

Sasa katika kupita nikakutana nae akawa kama nanishangaa hivi mithiri ya mtu anaenifananisha.

Sikujali nikapita zangu, sasa ikawa hivyo hivyo. Kiukweli mtoto mzuri, hana umbo kumbwa ni kama WEMA SEPETU wa sasa yani huyu wa Whozu achana na Yule wa zamani wa SIMBA.

Sura yake yenyewe tu aisee FAYMA VANNY huyu hapa!!! Sitaki kuzungumzia shepu nikawadananganya kama mobeto bure, nishasema kama Wema wa Whozu.

Kama nilivyosema dogo nimemsahau na sikumbuki chochote kuhusu yeye labda anikumbushe yeye.

Basi bhn siku moja mtoto akajitoa mhanga akanisimamisha akanisalimia kasha akasema

“kaka mbona kama kuna mtu nakufananisha nae?”

mmh nikastuka, kama ujuavyo waswahili sikuchagua kumjibu nikamtwanga swali

“Kwani wewe ni nani?”

“Mimi ni Sauda nimesoma na mdogo wako Muhibu shule ya msingi, Hunikumbuki?”

Daah! Alivyonitajia tu mdogo wangu nikavuta picha kweli nikamkumbuka aisee.

Kiukweli alivyokua na sasa ni tofauti kabisa, mtoto kawa mzuri ile kinoma ni mfano wa Monalisa wa kwenye movie ya Girlfriend na wa sasa.

Basi tukapiga stori kadhaa pale kasha nikasepa. Sasa kama ujuavyo vijana tulivyo na mtoto alivyonoga si nikaomba mawasiliano yake bwana, dogo hakua na hiyana akanipatia.

Siku ile Kila kitu kilianzia pale, basi tukawa tunachat ila sio mara kwa mara. Nikawa sionekani kwenye dakika zote za mchezo kama Mbappe kumbe nataka nisawazishe goli zote dakika ya 80 na 81 na mwishoe nitoke na hatrick.

Nikaona dogo anasomeka bila kuchelewa nikaanza kumpanga na mipango ya kula nyama tamua ikaanza, Kwenye 18 zangu huyu hapa kaja, Ndani ya SITA huyu hapa aisee kama unavyojua vijana wa hovyo haturembi.

Tena alijaa kipindi ambacho nilikua na stress za demu wangu tumeachana, huwezi kuamini Game ikaisha, akaja kuuponya moyo.

Nikawa kama na go crazy kwa Kila manzi Ili kupunguza machungu, muda huo nilikua Kibaha wakati nampangilia nilikua napiga mishe za zege katika haso za mtaa.

Kwahiyo kutokana na stress zile za kuachana na mwanamke nilompenda kuliko hata Mimi mwenyewe ikabidi nimpende dogo awe kama kipozeo………………..ITAENDELEA.

JE KIPEZEO KILIPOZAJE MACHUNGU? USIKOSE

NUKUU “Kamwe usimsahau Yule aliyekuepo kwajili yako katika kipindi ambacho hakuepo wakufanya hivyo”

hivyo huyu kipozeo anatakiwa kukumbukwa kwasababu alikuja kufuta machungu ya mwingine anyway mnatakua mmenielewa.
 
SIMULIZI: NILIVYOMPA MIMBA BINTI WA KAZI, IKATUNGA NJE YA KIZAZI.
SEHEMU YA KWANZA (01)
MTUNZI @middotz_ WHATSAPP 0655 969 973.

“Aisee kumbe hivi ndio watu hukataa mimba! ndio nagundua leo ukiwa hujajipanga”

Jina langu naitwa Shamsi Kassim, naishi kitunda Dar es salaam. Professional yangu ni mwalimu ingawa kwasasa mimi ni wakala.

Nimepanga nipo na mdogo wangu mmoja kwa jina Jafari lakini tupo na brother wetu ambae ndio kama mlezi hapo mtaani ila yeye ana kwake, bro wetu anaitwa Ashraf.

Huyu binti anatokea kijijini kwetu, Kama ujuavyo watoto wa kike kukua haraka. Dogo anaishi mtaa ninaoishi, ila yeye anafanya kazi za ndani. Huyu binti nilimuacha kijijinibado hajapevuka vizuri, sasa uku mjini kumbe kakua hadi nimemsahau.

Basi siku moja nikiwa napita mtaani naenda zangu mishe nikapita mtaa anaoishi, kipindi hicho napiga ishu za ujenzi. Sasa katika kupita nikakutana nae akawa kama nanishangaa hivi mithiri ya mtu anaenifananisha.

Sikujali nikapita zangu, sasa ikawa hivyo hivyo. Kiukweli mtoto mzuri, hana umbo kumbwa ni kama WEMA SEPETU wa sasa yani huyu wa Whozu achana na Yule wa zamani wa SIMBA.

Sura yake yenyewe tu aisee FAYMA VANNY huyu hapa!!! Sitaki kuzungumzia shepu nikawadananganya kama mobeto bure, nishasema kama Wema wa Whozu.Kama nilivyosema dogo nimemsahau na sikumbuki chochote kuhusu yeye labda anikumbushe yeye.

Basi bhn siku moja mtoto akajitoa mhanga akanisimamisha akanisalimia kasha akasema

“kaka mbona kama kuna mtu nakufananisha nae?”

mmh nikastuka, kama ujuavyo waswahili sikuchagua kumjibu nikamtwanga swali

“Kwani wewe ni nani?”

“Mimi ni Sauda nimesoma na mdogo wako Muhibu shule ya msingi, Hunikumbuki?”

Daah! Alivyonitajia tu mdogo wangu nikavuta picha kweli nikamkumbuka aisee.

Kiukweli alivyokua na sasa ni tofauti kabisa, mtoto kawa mzuri ile kinoma ni mfano wa Monalisa wa kwenye movie ya Girlfriend na wa sasa.

Basi tukapiga stori kadhaa pale kasha nikasepa. Sasa kama ujuavyo vijana tulivyo na mtoto alivyonoga si nikaomba mawasiliano yake bwana, dogo hakua na hiyana akanipatia.

Siku ile Kila kitu kilianzia pale, basi tukawa tunachat ila sio mara kwa mara. Nikawa sionekani kwenye dakika zote za mchezo kama Mbappe kumbe nataka nisawazishe goli zote dakika ya 80 na 81 na mwishoe nitoke na hatrick.

Nikaona dogo anasomeka bila kuchelewa nikaanza kumpanga na mipango ya kula nyama tamua ikaanza, Kwenye 18 zangu huyu hapa kaja, Ndani ya SITA huyu hapa aisee kama unavyojua vijana wa hovyo haturembi.Tena alijaa kipindi ambacho nilikua na stress za demu wangu tumeachana, huwezi kuamini Game ikaisha, akaja kuuponya moyo.

Nikawa kama na go crazy kwa Kila manzi Ili kupunguza machungu, muda huo nilikua Kibaha wakati nampangilia nilikua napiga mishe za zege katika haso za mtaa.

Kwahiyo kutokana na stress zile za kuachana na mwanamke nilompenda kuliko hata Mimi mwenyewe ikabidi nimpende dogo awe kama kipozeo………………..ITAENDELEA.

JE KIPEZEO KILIPOZAJE MACHUNGU? USIKOSE

NUKUU “Kamwe usimsahau Yule aliyekuepo kwajili yako katika kipindi ambacho hakuepo wakufanya hivyo”

hivyo huyu kipozeo anatakiwa kukumbukwa kwasababu alikuja kufuta machungu ya mwingine anyway mnatakua mmenielewa.

Inafuata soon
1672079358409~2.jpg
 
Back
Top Bottom