Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Song: i took a pill in ibiza by mike posner Huyu jamaa alikwenda huko ibiza na rafiki yake anayeitwa avicii ambaye alikuwa ni maarufu wakati huo. Walipofika akashangaa kuona watu hawana shobo...
1 Reactions
1 Replies
632 Views
Known for his stage names Mr. II, Sugu and 2Proud, Joseph Osmund Mbilinyi is one of the founders of Hip hop music in Tanzania. His lyrical style, which is methodical yet quick, has been mimicked...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Kwa wale mnaofatilia tamthilia hii mtaungana nami kuwa director Lamata analazimisha kuongeza matukio ili ivutie lakini katika uhalisia ilipaswa iwe imeisha siku nyingi. Bill kashajua mama yake ni...
-1 Reactions
11 Replies
3K Views
[emoji3591]Nimemaliza kusoma kitabu cha mchezo wa kuigiza, kinachoitwa "Aliyeonja Pepo" kilichotungwa mwaka 1973 na mtunzi Farouk Topan, nikajikuta nakumbuka kisa cha kweli.maishani kilichomsibu...
2 Reactions
2 Replies
689 Views
Aisee tafuta BREAKING BAD.bonge la dude
9 Reactions
74 Replies
8K Views
Sasa tuko pekee yetu, room iko bright kama mchana, nimekodolea dem smooth skin macho namkagua akiunbutton blouse. Hakutoa. Akainua rasa akaunzip skirt nyuma. Hakutoa. Bado nimesimama kidwanzi...
0 Reactions
0 Replies
397 Views
Ni mpenzi mkubwa wa muziki hasa nyimbo za zamani kizungu tunaita old school,flash back kibongo zilipendwa list yangu pendwa ni hii nasikiliza kila siku ngoma zinaishi damuni yaani kuna...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Nina majonzi mazito ya kufiwa na ndugu John Wick baada ya kumaliza kutazama chapter 4. Bado sijajua kuomboleza huku kutaisha lini. John Wick alikua kama kaka na mshauri mkubwa. Mbele yake nyuma...
4 Reactions
26 Replies
2K Views
MREMBO GANI AMETUPATIA NGOMA KALI ZAIDI???? Orodha hii inakuletea warembo watano waliosumbua akili za wasanii wa Bongo fleva mpaka wakawaandikia nyimbo. 1. CHRISTINA MANONGI "SINTA" Juma Nature...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu naomba kuulizia habari za huyu jamaa maana nimeona anatrend sana. Aliye na taarifa nae tafadhari.
0 Reactions
3 Replies
425 Views
CHAPTER 1. It Was April,and outside in the dark the rain whipped against the windows of our tavern, making a sound like muffled drums. We were concentrating on our dinner,and everybody jumped when...
3 Reactions
38 Replies
2K Views
🔓
3 Reactions
7 Replies
4K Views
Japo hauna adabu ila ndio muziki pekee wenye asili ya Tanzania. Sio dansi, taarabu, amapiano, rnb, hip-hop Wala takeu zote hizo tunaiga tu.
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Raymond Shaban Mwakyusa, anayetambulika kwa jina la kisanii Rayvanny , ni mwimbaji, mtunzi wa nyimbo, na msanii wa kurekodi mahiri kutoka Tanzania. Akiwa msanii, amepata mafanikio na kutambulika...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Sikuwahi kuwambia watoto wangu kuwa nilikua nafanya kazi gani. Kamwe sikutaka wajihisi aibu kwasababu yangu, pindi binti yangu aliponiuliza nilikua naenda kufanya nini ninapotoka, nilitumia muda...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Sikuwahi kuwa mpenzi wa movie za kibongo au series za kibongo ila hii ilikuwa ni series ya moto sana Nimeamini Tanzania kuna vipaji vya waigizaji aisee kiukweli wamefanya kazi kubwa Nilikuwa...
3 Reactions
22 Replies
3K Views
Dondosha Comment yako kuhusiana na hili goma
1 Reactions
12 Replies
4K Views
Don't leave me in all this pain Don't leave me out in the rain Come back and bring back my smile Come and take these tears away I need your arms to hold me now The nights are so unkind Bring back...
2 Reactions
21 Replies
1K Views
Kumbe bonge moja la series Unyama mwingi, pia kuna conversations zinachekesha hasa character ya detective Bullock na kijamaa penguin. nilichelewa kuifuatilia
1 Reactions
2 Replies
536 Views
NOTES FROM THE UNDERGROUND By Fyodor Dostoevsky Part I ___________________ *The author of the diary and the diary itself are, of course, imaginary. Nevertheless it is clear that such persons as...
1 Reactions
23 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…