Mrope II
Member
- May 14, 2023
- 8
- 11
Kaka yangu @harmonize_tz ni mimi kaka yako kabisa kutoka Kusini naitwa BABA BOSI AU BABA MTAKATIFU
Staki kuongea leo ila Nataka kusema,tofauti kati ya hayo ni Kwamba Kusema ni ajira kuongea ni Kumaanisha.
Mimi leo nakua msemaji wa haya ..!!!
Kuna muda nilisema hakuna sijakiona katika umri wangu huu ila kumbe yapo ambayo sijayaona,kama
Nimejifunza baada ya kuona wewe Umepewa Msanii bora wa mwaka ila @mbosso_ ni Msanii bora wa Kiume ..!! HAPA KWANZA NCHEKE
MWAKA+KIUME
Staki kuhoji jinsia yako kaka yangu @harmonize_tz wala sina Shida na Mtani wangu @mbosso_
Ila vipengere uwenda vipo kwa mujibu wa Sheria
Ukirudi njoo CHITOHORI au Tukutane Nyumbani MIKINDANI kuna Jambo nikuambie
Daktari Wa Zamu