Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

1. Liberation 2. Serge Palmi Kama Wewe ni Mpenzi wa Miziki ya Congo DR hasa Bendi yangu pendwa na tukuka ya Wenge Musica BCBG yake JB Mpiana na hujazisikiliza hizi Nyimbo Mbili Tamu katika Album...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Jamii forums ina watunzi wengi wa visa vya kubuni na vingine vya kiuhalisia katika maisha yao, Ila huyu mwamba UMUGHAKA ametia fora, sidhan kama kuna member anamzidi Kwa simulizi zake zenye...
29 Reactions
80 Replies
11K Views
Hapa kuna orodha ya njia tano za burudani nchini Tanzania. 1. Kusafiri: Tembelea maeneo ya kuvutia kama vile Hifadhi ya Taifa ya Serengeti, Mlima Kilimanjaro, Visiwa vya Zanzibar, na Mbuga ya...
5 Reactions
1 Replies
943 Views
Hii ni kati ya Series za Kikorea zilizonivutia, kuna mtu kaitizama humu ili tubadirishane uzoefu?
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Huu wimbo mzuri sana kusikiliza. Tatizo ukija kwenye ujumbe ndio tatizo. Unapinga mahusiano. Tujiunge na Jux na Diamond kwenye upweke na ukapela tukanywe na tucheze juu ya meza. Nawashauri...
3 Reactions
3 Replies
637 Views
Enzi hizo ilikuwa ukienda Kinondoni kuanzia ijumaa hadi jumapili maeneo mengi yalikuwa yakitawaliwa na ngoma ya sindimba, ambayo inasemekana asili yake ni huko mkoani Mtwara na wenyeji wa ngoma...
0 Reactions
0 Replies
679 Views
Unaweza kusema aliyewakutanisha AYGUL na JAKUTAY ndani ya Tamthilia ya Ottoman alipata maono ya kweli. Huwezi amini mara baada ya kuoana kitamthilia kule Ottoman hatimaye wapenzi hawa waamua...
6 Reactions
17 Replies
2K Views
Rais wa milele wa Kigambonino huyu na vocal na style yake ya pekee anaisakafia kauli yangu kuwa game bado inamhitaji maana hana mbadala. Ni ngoma chache sana utamsikiliza na kukosa kucheka...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari zenu wakubwa! Samahanini, mwenye uelewa kuhusu YouTube channels anipe ufahamu kidogo kuhusu: 1. Namna ya kufungua channel 2. Utaratibu wa kisheria 3. Namna faida inavyopatikana 4. Na...
1 Reactions
0 Replies
871 Views
Ni muda mwingine tena salaam, Kwa kweli sina hamu ya kuangalia local channels maana hawana mpangilio wa vipindi ili kumvutia mtazamaji zaidi huwa naangalia taarifa ya habari saa mbili, bbc...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
SUPA 5 FROM PAPA LOVE MAWINGU RECORDS ni nyumba ya heshima ambayo ilisanifiwa vyema na Boniphace Kilosa, mchonga njia wa muziki huu. Kagusa mikono mingi sana lakini kwa upande wangu, hii mikono...
0 Reactions
5 Replies
879 Views
Wataalamu wa Mambo tuimbie Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Yeap, Umesoma sahihi, Ni buree! Ndio najua unajiuliza, “hii inawezekanaje?“ Ngoja nkwambie sasa, of course kuna a catch, Inabidi ujiunge na Publication inaitwa “Cinemalitics” Link hii...
0 Reactions
9 Replies
670 Views
Wakuu huyu jamaa ni kipaji japo now kapotea kabisa hasikiki, mnaokumbuka majina ya nyimbo zake wekeni hapa tujikumbushe utamu wa nyimbo za huyu jamaa. Tupieni hapa zote alizoshirikishwa na zile...
1 Reactions
29 Replies
10K Views
Kwa wale tulio bahatika kutembea tembea duniani tunajua wanaija wapo wengi sana kila mahali.. Jijini New York, kitongozi cha "the bronx" ni kama Lagos ndogo, wanaija wamejaa kibao.. hata...
5 Reactions
20 Replies
2K Views
Makadirio ya Ukubwa wa Muvi / Series -Muvi za 720p zina MB 700 hadi GB 1 -1080p zina GB 1.5 hadi 2 -Series za 720p zina MB 250 hadi 400 -1080p ni MB 500 hadi 800
1 Reactions
0 Replies
1K Views
************************************************ Sehemu Ya Kwanza (1) Upepo na jua ni mahasimu wa toka zamani, mara nyingi ubishani wao wa kutaka kujionyesha yupi ni bora kuliko mwenzie, ndio...
2 Reactions
24 Replies
7K Views
Hello JamiiForums, Hii itakua thread yangu ya pili humu Jukwaani toka nijiunge kama member June, 2020. Mimi ni Producer, Composer & Songwriter. Ndani ya miaka mitatu nimekua nikijaribu kuendeleza...
0 Reactions
2 Replies
505 Views
Habari wana jukwaa, Nime attach track yangu, naomba kuambiwa pa kurekebisha, nilikopatia. Nlipoharibu kabisa. Style yangu ni EDM ie Electronic Dance Music, Sub Genre: Melodic Bass. Natumia FL...
5 Reactions
7 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…