Game inamhitaji sana Jos Masikhara

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,016
9,885
Rais wa milele wa Kigambonino huyu na vocal na style yake ya pekee anaisakafia kauli yangu kuwa game bado inamhitaji maana hana mbadala.

Ni ngoma chache sana utamsikiliza na kukosa kucheka, pengine ndiyo chanzo cha kuwa Jos Masikhara.

Niambie ni KOLABO gani alifanya na akafunikwa. Jos anaingia kwenye orodha ya mabraza ambao hawajawahi kuniangusha kwenye suala la kuangusha "matembo" kwenye ngoma zao na kwenye ngoma zake alifanya kufuru sana huku akiangusha neno mojamoja kama hataki vile;
Acha nianze na KOLABO;
1. MECHI ZA UGENINI - ROMA
2. INTERNATIONAL MC- T REX, NGWAIR
3. SAFARI - DOMOKAYA
4. NAMRUDISHA KWAO - KIMBUNGA
5. CHOCOLATE - MR PAUL
6. HITIMISHO - MWANAFALSAFA
7. RAIS WA GHETTO - X RAY, FID, ROMA
8. NAUZA HISIA - CENTRAL ZONE
9. DIE HARD RMX - DCEE, G NAKO
10. NAFANYA NNACHOWEZA - BABY BOY, MAUNDA
11. JOS + JOS - JOSLIN
12. NIMEKOMA - BANANA
13. KWENYE MCHONGO - DRACULA
14. JIWE - CAPACITY, KAMUSI
15. MAISHA YA MTAANI - SELA NINJA
16. ALIFU KWA UJITI - FATMAH
MTAMBO alitamba sana na mnyamwezi D money pande za Downtown Records kabla mambo hayajaenda arijojo.

Mtambo akatulia huku akishtua kwenye game kwa tracks kadhaa mpaka aliposimama upya chini ya himaya ya Tongwe Records.

Baada ya kukuangushia kolabo 16, sasa nakuletea ngoma zake 14 za moto pia ili tutengeneze top 30 ya kazi za bro Jos.
1. DARASA HURU FT DULLY
2. NIMESAHAU FT MATONYA
3. WATOTO WA MJINI FT CHID BENZ
4. NAONGEA NA ROHO - BELLE 9
5. SIJAWAHI KUFELI FT N2N
6. BATA BOY FT JOSLIN, BABUU, NGWAIR, FID Q, MCHOMVU
7. SHUT UP FT PIPI
8. MNATAKA IWEJE
9. HATAKI
10. MASIHARA
11. FIKIRIA FT NATURE
12. NIMEONÀ
13. UNANISIKIA AU UNANISIKILIZA FT ONE SIX
14. OLD SCHOOL

Jos anakuja kwa kushtua wakati GAME INAMHITAJI.
Angusha kazi yake iliyosahaulika.

Ngoma gani ya Jos inakurudisha jana au juzi?

Kama ulikosa ngoma hizi, naomba uzitafute na uone utawala wa Jos kwenye sanaa yake. Moja ya mabraza waliojitengenezea njia zao za kupita. UKIMSIKILIZA HUMSIKII MSANII MWINGINE ZAIDI YAKE MWENYEWE.

Taarifa mpya NI kwamba Jos ameingia studio kwa mara nyingine na ngoma inaitwa DHARURA, pichani anaonekana akiwa ndani ya studio za ABOOD FM.

HATS OFF BIG JOS!!
LUAH
050723

1689168212324.jpeg

1689168226863.jpeg
 
View attachment 2685924
View attachment 2685925
"Unajiitaga diver afu unaogelea maji ya ugoko, halafu nazi bado changa ukiigonga inalia Ko, Ko..." Big Jos, Jose Masihkaraa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom