Kuna mtu kutizama Series ya Kuongea ya ARTHDAL CHRONICLES.

Kuna mtu kutizama Series ya Kuongea ya ARTHDAL CHRONICLES.

Powder

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2016
Posts
5,261
Reaction score
7,119
Hii ni kati ya Series za Kikorea zilizonivutia, kuna mtu kaitizama humu ili tubadirishane uzoefu?
 
Niko ep 6, nachek online. Yamoto mno. Shida inakula bando kama haina akili nzuri.

Mwenye kujua namna ya kupunguza haya makali ya bando, tafadhali.
 
Back
Top Bottom