Zipi nyimbo zako pendwa(zisizo za kidini) za kumuabudu Mungu? Shusha na 'lyrics' zake kidogo

Brothers Karamazov

Senior Member
Jul 13, 2023
152
391
Ziwe bongo flava, ziwe rnb, ziwe funk, ziwe rap, iwe rhumba, ziwe soul muhimu tu isiwe gospel au Kaswida.

1. Asante ya Sugu na Sele, kutoka kwenye album yake ya Muziki na Maisha. 'Chorus' yake aliifanya Mr Paul(hivi yuko wapi huyu mkali wa zouk?).

'lyrics';
Maisha yangu namshukuru Mungu(asantee),
Chochote nachofanya si kwa uwezo wangu(asantee)
Maisha yangu ninamshukuru Mungu(asantee)
chochote nachopata ni kwa uwezo wake(asantee)

Huu ndio wimbo wangu bora ya kumtukuza Mungu wa wakati wote.

2. Lord i hope this day is Good ya Don Williams

'lyrics';

Lord have you forgotten me,
i feel empty and misunderstood...

i've been praying faithfully,
i'm not saying im righteous man,
but lord i hope you understand...

i dont need fortune, i dont need fame,
bring down thunder,
lord bring the rain,
when you plan how it will be, just plan a good day for me.

lord i hope this day is good!

Shusha zako hapa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom