nkanziga
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 700
- 1,116
Baadhi yetu tunaamini kusikiliza muziki ni tiba ya bure kabisa (therapy) kitu ambacho kwa namna flani kina ukweli ndani yake, kila mtu ana aina ya mziki anaoupenda, wengine hupendelea gospel, Reggae, RNB, Bongo Flavor, Amapiano, nk.
Kwangu mimi nasikiliza muziki wowote utakaonivutia aidha ujumbe ama hata mdundo tu.
Ila nikisikiliza gospel kuna hali fulani inakuja nahisi amani sana hata kama nilikua nina mawazo basi huondoka kwa sababu najikuta ni part ya waimbaji hadi kufikia hatua ya kujisahau na kuanza kuimba na kucheza (that's the whole vibe kwangu)
Mfano mzuri nikisikiliza gospel kama za neema gospel choir, cvc, ada ehi, nakadhalika.
Kwako ikoje.
Sent from my sm-n981u1 using JamiiForums mobile app