Cheaters: The Series

KigaKoyo

JF-Expert Member
Nov 14, 2019
273
1,918
Hello Jamii People. Been a while lakini yote heri au siyo. The messages that I receive mostly zinaniulizia kuhusu more stories. So nikaamua walau kila wiki niwe naandika something. Naanza na hii Cheaters. Ni hadithi ya kutunga so haina uhalisia wowote. Wale mtakafurahia rukhsa kusifu, wale mtakaoona nazingua povu rukhsa pia maana tunajifunza kupitia vyote.

Hii ni kama series, so msiwe na papara nayo sana. Itakua inakuja kila jumamosi si zaidi ya saa 12. Leo kwa kuwa naizindua naiweka leo, then kesho pia ntaweka.

Ukisoma kwa ajili ya burudani ni sawa utaburudika, ukisoma kwa ajili ya chaputa kuna episodes zako, ukisoma kujifunza utapata mafunzo pia. Hasa why men and women cheat. Character akicheat kwenye hii story, jaribu kujiuliza mazingira yaliyopelekea kucheat, nadhani itakusaidia kwenye mahusiano yako hasa unapoona mazingira kama hayo yanajengeka.

Leo tuanze na mama la mama Zoya.
...............................

Zoya.
Wasalaam. Naitwa Zoya, ingawa hua napata sifa za ulimbwende, ila mi najiona wa kawaida sana, sana. Yani labda sura kwa mbaaaali, ila shepu, sio zile za kuongelewa mtaani, kawaida tu ( waeza nitazama kwenye picha zangu hapo chini kwanza then unambie kama nastahili hizo sifa au la).So as far as am concerned I’m just an ordinary woman. Kilichonisaidia ni kuwa somehow classy and composed.

Na hii imechangiwa na familia nlipolelewa. nimezaliwa katika familia ambayo walau unaeza sema ilikua na life standard nzuri. Of course sio zile standard za kusomeshwa IST au ISM na kufanya ma baccalaureate diploma hapana, nimesoma hapahapa tu, St Mary’s ya mama Rwakatare then Loyola High. Bt mazingira ya home yamenifanya ule usoft wa kishua uwe nami mpaka leo.

Kwetu nina kaka wawili mimi nikiwa wa mwisho kuzaliwa, brothers wao shule ziliwashinda, mmoja bangi zilimharibu mpaka leo haishi kugongea hela, utasikia sister nnadili moja hilo likitiki nimetoka, sema nini, nimepungukiwa milioni hivi nitoe basi mshkaji wangu hahaha.

Ndo hivyo tena kwa kuwa ni my big bro hua namsaidia sana, hasa kulea watoto wake maana anawatoto kila kona ya jiji. Naweza sema kilichomharibu huyu bro ni zile mali za mshua, maana wakati wa uteenager ule ndo mzee akawa anawaruhusu tu kutumia magari yake na sometimes ku invite friends over for a party. Bro mwingine yeye aliamuaga tu kuwa mfanyabiashara, ingawa hana biashara kubwa walau yeye amesettle na familia yake Mbeya huko.

So I am the only one ambaye kwetu nimejaliwa kupiga shule. Pamoja na uzuri ambao nasikia wananisifia, ila pia ni mkimya flani hivi. Yani kama sijakuzoea unaeza sema either naringa au mpole sana. Bt kwa watu tunaofahamiana wanajua hua naongea fresh tu sema sio kwa sana kama akina miss Buza.

Nimeanza kujua wanaume nikiwa second year chuo. Aliyenianzishia nadhani alinibaka (wanaume mnaita kula kimasihara nkt), na ilikua ni kwa influence ya my best friend kipindi hicho, tulikua marafiki haswa tukiitana wenyewe BFF. Nadhani itafika siku nisimulie ilikuaje. Ila kwa leo naanzia story ya jinsi nlivokutana na Ras.

Nlikua nshamaliza chuo nakumbuka kilikua kipindi cha harakati za harusi ya one of my cousins. Kwa kuwa mzee wangu ndo alikua Don kwenye familia yao, yeye akasema atabeba jukumu zima. Na si unajua wanaume wakijua kuna mteremko wanavyopenda kuserereka nao, yaani hadi shughuri za upande wa mwanaume wakawa wanamsukumia The Don ndo anazifinance.

Mume mtarajiwa wa causin alipanga kufanya kama bachelor’s party flani, sio ile ya kualika wadangaji, hapana alipanga akutane tu na washkaji zake na washkaji wa mkewe mtarajiwa wapeane shukrani kwa sapoti na kupanga mikakati, hivo, yani sijui hata kama ilikua na maana, ila ndo ikawa. The Don, yaani mzee wangu akatoa moja ya nyumba zake zilizoko kigamboni (beach house moja iliyotulia ambayo zamani ilikua ya serikali, shukrani ziende kwa Ben maana alimuuzia mzee kwa bei chee).

Mi nlikuwa nimejipanga na boyfriend wangu Kaly anipitie home Upanga mida ya saa kumi na moja jioni. Ila kama kawa, Kaly alikua sio mtu wa kumtegemea sana. Mchana wake tu alikua ashalalamika hana nguo ya kwendea kwenye mtoko huo, so ikabidi nimtumie akanunue. Na sio kweli kuwa hakua nazo, najua ana nguo kibao maana nyingi mm ndo nlimnunulia. Kuna sometimes nlikua nawaza maybe Kaly yupo na mm sbb ya pesa nnazompa, ila kama mjuavyo mwanamke akipenda amependa kweli. So I was blinded by love.

That day nimesubiri mtu mpaka saa moja, mwanzo simu alikua anapokea ila mwishoni akazima kabisa na simu. Huku kwenye party ndo cousin kila saa anapiga uko wapi?. Nikawa nshaamua kuchukua taxi nisepe, nikawa nimempigia mzee Msimbe pale Palm beach aje anifuate. Bt kabla taxi haijaja nikapokea simu ya Kaly na excuses kibao, bt akasema nimpe dkk 20 atakua hapa.

Tumeingia kwenye party kama saa tatu hivi. Watu kibao. Ile nafika tu Cousin kanidaka, ingawa she was also a friend ila story zake mara nyingi zilikuaga zinaboa, ni mambo ya nguo na vipodozi. Bt ndo bi harusi, inabidi tu umsikilize. Kabla hatujachanganya na wengine akanambia, mdogo wangu kile kijamaa chako kinakupotezea muda tu, tafuta kijana anayejielewa hapa leo, si unaona mwenyewe walivyotokelezea,kazi kwako dogo. Sikupenda anavyomchukilia Kaly ila ndo sikutaka kubishana, nikawa namchekea tu. Sikua mnywaji sana so nikawa tunapiga story na cousin na other relatives huku nikitambaa na juice. Kwa kuwa watu ni wengi sikujua hata Kaly kapotelea wapi.

Baada kama ya nusu saa ndo Ras akaingia. Nadhani I was the only one who noticed him. Alikua ameambatana na wakaka wengine wawili. Nasema nadhani nilikua pekeyangu niliyemnotice maana hakua na muonekano ambao vijana wote hapa walikua nao. Kwanza alikua mwembamba, sio sana kama anaumwa, hapana, ila ule wembamba unaoonesha jamaa hajijali kwenye issue za msosi.

Then alikua ameachia ndevu ziote zinavyotaka, hazikua nyingi sana maana umri wake sio mkubwa bt hazikua zimepangiliwa. Nywele ndo usiseme, yaani zilikua nyingi alafu wala hakuhangaika kuzichana. Mikono yote kajivalisha cultures za aina mbalimbali, then kavaa mshati mkubwa ambao ukiangalia na jinsi alivyomwembamba unaeza either kumcheka au kumuonea huruma.

Wakati naendelea kutafakari how life is unfair, nikasikia kama vurugu. Kwenda nje kucheki namkuta Kaly anagombana, kisa kuna dem analalamika Kaly kamshika matako. So jamaa wa yule dem ndo kalianzisha varangati. Wote wamelewa so Kaly nae anataka kuzichapa.

Aliponiona akaanza kujitetea kabla hata sijauliza, “baby huyu mwanamke mi napita zangu anadai nimemshika tako, mi ndo ntakua wa kumtamani kinyago ka huyu akati nna dem mkali ka ww", yule manzi aliposikia anakandiwa nae kapandisha sauti, kiukweli nlikua namfahamu, ni ndugu flani wa kuvuta na kamba, bt ilibidi niingilie kati kumsaidia Kaly. Nikajidai na busara zangu za utoto “jamani si inawezekana kakugusa bahati mbaya, sasa kuna haja gani kufanya issue iwe kubwa hadi unataka haribu sherehe ya watu, baby twende ndani achana nae”, nikamchukua Kaly mpaka room.

Of course kindanindani nlikua kama roho inaniuma, maana yule dem tako alikua nalo, then mm ndo ile Mungu aliamua kunigawia kiasi tu. Bt nlikua siko tayari kumpoteza Kaly. Kaly was handsome. Alikua na macho flani akikuangalia unaeza itika, bt most of all nlipenda lips zake. Yaani hata aniudhi vipi, akinikiss moyo wangu hupoa.

Ni kati ya wanaume ambao mnaeza kiss nae hata siku nzima, ooh I loved those lips. Na kama alijua vile, maana tulivyofika room akanihug then akanisogezea lips, nikahisi kuloana. Nikasahau maswaiba aliyoyafanya. Kuja kushtuka kashanitoa chupi, nikamuwahi. “sio poa, watu nje watajua tunatiana" eti “achana nao bana, I want you now" na hivi alijua mi nishakufa kwake alijua siezi kataa.

Tukutane kesho....

Picha zote ni kwa msaada wa google.com

20200515_220143.jpg
20200515_222210.jpg
20200515_222330.jpg
20200515_222421.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Episode 2
..........................................................................

Na kama alijua vile, maana tulivyofika room akanihug then akanisogezea lips, nikahisi kuloana. Nikasahau maswaiba aliyoyafanya. Kuja kushtuka kashanitoa chupi, nikamuwahi. “sio poa, watu nje watajua tunatiana" eti “achana nao bana, I want you now" na hivi alijua mi nishakufa kwake alijua siezi kataa. Bt uoga wangu ulizidi hisia, nikasimama nikavaa pichu nikatoka. Nikamuacha analalamika tu.

Sherehe ilifungwa rasmi saa sita. Watu wakawa wamesepa karibu wote mpaka kufikia saa saba kukawa kimya. Nikaenda room nikamkuta Kaly keshalala. Nikamtizamaaa, then maswali yakawa yanapita kichwani, is he the one for me? Would I be willing to spend my whole life with him? Will he be the father of my kids? Sikua hata na majibu, au niliamua tu kutoyajibu kwa wakati huo. As long as he makes me happy, sitakiwi kuanza kutibua furaha nliyonayo so niliamua kuishi siku moja baada ya nyingine.

Nikaenda kuoga, nlipovua nguo kitu cha kwanza nikujikagua shepu, hivi inawezekana Kaly anapenda misambwanda eeh? Au na mimi nikaboost China? Haya mawazo yakanifanya nianze kujiona fala. He should love me as I am. Mbona nampa kila kitu atakacho, kuanzia mahitaji ya kawaida hadi ya kimwili tena popote atapotaka, ni leo tu ndo nlipata ujasiri wa kumkatalia, ila Kaly alishanila hadi kwenye kitanda cha mzee. Nikawaza mengi kiasi kua kuoga kulichukua karibu saa zima. Nikarudi kitandani kulala. Usingizi hata hauji, nageuka tu. Nikaona huu ufala ngoja nikapunge upepo nje. Nikachukua iPod (vijana wenzangu wa zamani miaka ya 2000 mnanielewa) nikaenda kukaa garden. Upepo mzuri wa bahari ukinipuliza. Nikatamani kwenda beach ila niliogopa usiku ule maana ilikua karibu saa tisa.

Then kwa mbali nikaona mtu kakaa beach. Kilichofanya nigundue ni ile sigara aliyokua anavuta maana nliona kijimoto kinapanda na kushuka. Mwanzo nliingiwa na hofu, bt kabla sijasimama kurudi ndani nikasikia akiimba, wimbo wenyewe redemption song. Nikaamua kuita, helooooo!! Huku nikiwa mguu sawa kwamba nikihisi hatari nichomoke fasta. Nikasikia kasita kujibu bt kaacha kuimba, “we nani" nikarudia kuuliza. Ndo akajibu kujitambulisha huku akija nilipo. Ndo kumuona sasa Ras.

Alikua kavua shati bt suruali ni ileile aliyokua nayo, muonekano wake ukawa wa kutia huruma zaidi, yani tumbo limeingia ndani kama hajala mwezi. “mbona uko macho mpaka sasa" akaniuliza, “mbona na ww uko macho?" nikamjibu kwa swali. Ila nikaona nimjibu swali lake, ‘usingizi hauji nikaamua nije kupunga upepo' hauogopi usiku mzito hivi alone, akaniuliza, “hapana, ila nlianza kuogopa nlipokuona ww", akacheka. Siku hizi bora ukutane na simba utajua moja kwa moja ni hatari, binadamu ni noma zaidi maana hujui ni adui au rafiki, akawa anaongea huku akiniaga kuwa anarudi ndani. “kama hutojali tukae kidogo kama nusu saa, maana ushanitisha kukaa alone" akasema poa. Tukarudi ufukweni.

Nusu saa tu ya kukaa na Ras nikagundua he is well educated, ingawa hata mara moja hakugusia kuhusu elimu yake, wakati mimi ndani ya huo muda nishamueleza hadi GPA nliyopata chuo hahaha. Ufahamu wake kuhusu mambo mbalimbali haukunishangaza sana, ila ni ule uwezo wake wa kuanalyse mambo ndo ulinifanya nijione mm bado natakiwa kurudi shule. Na ni kama aliamua tuwe ktk opposing sides kwenye kila issue tunayoizungumzia, na baada ya mabishano anakufanya ulitazame hilo jambo kwa angle pana zaidi.

Tulipanga kukaa nusu saa, bt tulikaa pale zaidi ya 2 hrs, badae namuuliza sigara uliyokua unavuta iko wapi, akawa kama kastuka, then akafukua mchanga akaitoa. Kumbe ganja bana. Nikamuangalia, sikucoment kitu, then akaniuliza mbona simwambii sio vizuri aache, sikumjibu hata. Ndo akaanza kuniambia namna bangi inavyomsaidia, akasema bila bangi labda angekua mhalifu. Ila bangi inamtuliza mawazo. Kichwani nikawa nawaza, mbona bangi wengine inawadatisha ina maana inachagua, nikaamua kupotezea. “so you are a Rastafarian?” hatimaye nikamuuliza, akacheka sana, mimi na marastafarian tunafanana itikadi ila tunatofautiana imani, akanijibu. Nikajikuta nacheka pia, then Nikamwambia basi wewe ni rastafarian nusu, yani Ras.

I don’t know how it started. Ila nakumbuka, nlijikuta namuegemea Ras. Nadhani ni kwasababu ya ubaridi wa alfajiri. Ila lile egemeo langu pia likaamsha kitu kwa Ras. Nikaanza kushuhudia live suruali inavotuna. Then he started touching my breasts, nadhani hii wengi wanatumia kuona kama wamekubaliwa kula kimasihara au la. Na sikuona haja ya kumzuia, the idea of fucking this ganja smoker ilinipa thrills. His kiss was not as good as Kaly’s bt the smell of mjani ulinipa ladha flani amazing.

Tulikiss na kutouch kwa muda, vidole vyake nikiviruhusu vitambae hadi ikulu. Then akiwa amekaa nikampandia kumkalia, nikafungua zipu ya suruali yake nikamtoa babu. Bana, bana, kweli mwanamme mashine. Nakiri sikuwahi kutana na ndefu nene kama ya Ras, ulikua mhogo hasa. kwanza nlivoigusa kidogo niahirishe, bt nikajipa moyo kwa kuwa nimemkalia juu, ntajipimia saiz nnayotaka. Na kweli mwanzo nikawa naiweka nusu hadi ikazoea, utam ulipokolea sijui hata saa ngapi nliizamisha yote, I enjoyed it, we both screamed kwa pamoja tulipomaliza.

After the sex, alfajiri ilikua ishatamalaki, akachukua ganja lake akaniacha nimejilaza mchangani. Of course I felt bad kuwa nimecheat. Tena nimemcheat Kaly my handsome kwa mvuta bangi mmoja rough rough hivi. Mtu mwenyewe baada ya kunitia hata hajasema chochote. Ni bora Kaly huwa anaomba hata nauli. Nikaanza kulia.

Nlirudi room kwenye saa 12 baada ya wafanya mazoezi ya beach kuongezeka. Nikamkuta baby anakoroma bado. Nikaingia kuoga then ndo nikalala sasa. Nimekuja kuamshwa na Mwanaidi, mdada ambae hua anafanya usafi hapa. Dada inaonekana jana mmeinjoi eeh? Makopo ya bia na condoms everywhere, sikua hata na mood ya kumchangamkia kama siku zote, bt akanikaribisha chai. Kwa kuwa wakati naamka sikumkuta Kaly, nika assume atakua tayari sebuleni ananisubiri. Bt hata sikumkuta, nikawakuta Cousin , bwana ake, na mmoja ya vijana waliokuja na Ras jana.

Tukatambulishana pale fresh sikutaka hata kumuulizia Ras. Kurudi room kwangu ndo nagundua Kaly kakomba hela yote kwenye pochi ikabidi nicheke tu.
Baada ya like tukio la beach nikawa sijui nafeel vipi, yaani was it guilty or shame. Bt ule mchachato wa kumchangamkia Kaly ukapungua sana. Yani akipiga ntamuongelesha sentensi fupifupi, sometimes akiishiwa nampa sometimes namnyima. Kikubwa zaidi, sikumpa kabisa papuchi. Na sababu ambayo nlikua najiambia ni kuwa sitaki nipate pressure ya kutojua mimba ni ya nani in case nimenasa. So nikawa nasubiria wahindi watoke kwanza. Kuhusu Ras I guessed it was a one night stand. Sikuwahi hata msikia tena.

After almost 3 weeks, nakumbuka harusi ya yule cousin ilikua imekaribia sana. So bwana harusi akawa amekuja home kuongea na the Don kuhusu issues za bajeti. Hakuja alone, alikuja na yule rafiki wa Ras. Nakumbuka walikuja mapema so wakati wanamsubiria mzee ndo tukawa tunaoiga story kadhaa pale hasa kuhusu ile bachelor’s party. Bwana harusi kamuuliza mshkaji wa Ras, hivi jamaa yako yule mchafu mchafu aliondoka saa ngapi, maana mlisema mtalala pale ila asbh sikumuona. Hata mm sijui aisee, nlivorudi geto nikamkuta kalala hata sikumuuliza, itakua alilewa bangi akatembea kwa mguu hahahaha, wote wakacheka, mi nmejikausha kama sisikii chochote, “hivi ulimjulia wapi yule hata hamuendani”, Ndo mshkaji katupatia story ya Ras.

Akasema, walikutana na Ras kitivo (wanasheria waliosomea UD hua wanapenda tu kujitofautisha, eti kitivo hahaha) ilibidi awe close nae maana jamaa ni kichwa mbaya, yaani bila Ras mshkaji akakiri asingemaliza, “usimuone vile, jamaa ni ana akili sana" akasema, kila akikutana na mtu aliyesoma na Ras kuanzia primary sifa ya kwanza ni kuwa jamaa ni genius,. Tatizo la Ras ni bangi na misimamo yake. Bila hayo angekua anafundisha sheria Kitivo.

(Jamaa alishusha cv karibu yote ya Ras pale Chuo, hasa alivyotendwa na dem wake. Story kamili ya Ras ataisimulia mwenyewe but kwa leo huyu jamaa akaendelea kwa kusema),
Juzi kati Ras alifulia sana ndo nikamuonea huruma anakaa geto kwangu, sema ndo siwezi mfukuza ila ananibana kinoma. Kabla hajamaliza kumuongelea Ras akasema yani kama ‘by the way' tu, eti, juzi hakurudi home sikujali, jana asbh ndo nikapigiwa simu na manesi wa muhimbili kuwa yupo pale alipata ajali ya bodaboda, kesho ntaenda kumcheki tukimaliza hili suala lako mshkaji wangu.

Sijui hata kwa nini nilipanick. Then sikuona hata haja ya kumhoji why hajaenda kumuona rafiki yake aliyelazwa. Nikanyanyua pochi yangu nikawaacha pale kama naenda dukani vile. Kwanza nikampigia simu maza, alikua anarafiki yake anafanya kazi muhimbili. Akanipa namba, then nikampigia huyo Anti nikajitambulisha fresh, kusikia mtoto wa the Don kanichangamkia balaa, nikamuomba anitafutie mgonjwa wangu wa ajali ya pikipiki amelazwa wodi gani.

Nikampa majina kamili (Ras alinitajia jina lake moja tu, ila kwa stori za mshkaji wake leo alimtambulisha kwa majina yake yote). Kabla sijapata mrejesho nlikua tayari pale geti la muhimbili. Haukua muda wa kuwaona wagonjwa so nikawa nimekaa pale nikisubiri kujua pia naelekea wapi. Wakati nasubiri ndo nikapata wazo la kumchukulia chochote kwenye maduka ya jirani, nakumbuka nilizunguka sana mpaka nikajaza fuko.

Baada ya muda yule anti akanipigia na details zote, nikamwambia basi muda wa kuona wagonjwa ntazama, akaniambia we waambie unakuja kwangu. Wakisumbua unipigie. Na kweli hata sikupata usumbufu, nikazama. Direct hadi wodini, haukua muda wa kuwaona wagonjwa na ilikua ni wodi ya wanaume, so nikachungulia na kuona mijanaume imejilaza tu nikahofia. Kabla sijajua cha kufanya, yule anti akaja pia. “nlihisi utasumbuliwa nikaamua nije" ndo kunishika mkono kunipeleka hadi kwa Ras.

Ras mwenyewe wala hakuoneakna hoi kama wenzie. Alivyoniona akatabasamu. Sasa sijui ni alifurahi kuniona au ni alikumbuka alivyo nila kimasihara. Yule anti ndo anamuuliza, unajisikiaje, Ras anasema yuko poa tu hata hajui why hawamruhusu. Anti kamuita nurse incharge pale, kumuhoji akasema mgonjwa alifika hajitambui so wanasubiri wampeleke kufanya MRI Agha Khan maana hapa haipo,. Yule Anti akanitoa nje na kuniambia, huyu mpeleke Aghakhan mwenyewe, hapa atasubiri mwezi. Nikamshukuru, nikawa natoa hela nimpe kama asante akawa anakataa “jamani usjali mwanangu hata sijafanya kitu" ila alipoona laki nimeishika eti “ila asante kwa ukarimu mwanangu, if you need anything nipigie" huku anaichukua.

Nikarudi kwa Ras nikamwambia tupunge upepo kidogo. Kweli tukatoka, lengo ilikua nimuulize kama yuko radhi tuhame hosp. So tukatembea mpaka eeno flani njia ya kwenda kwa clinic ya watu wa madawa ya kulevya. Ni eneo lisilokuaga na mishe za watu kabisa. Tukakaa kwenye mawe, nikampa juice akawa anakunywa. Hatukuongelea issue ya beach. Alinisimulia tu jinsi alivyopata ajali. Then nikamwambia issue ya kucheki kama kichwa kiko sawa Aghakhan, akasita, nikajua anaogopa gharama, nkamwambia ni referral kutoka hapa so hakuna charges. Akakubali.

Bt kabla hatujaondoka nikamtolea nanlii, yeah ganja. Hakuamini anachokiona, nikawa namuangalia kwa macho ya ‘I gatcha back'. “stua kidogo ndo twende",..... Of course nlipata shida kuipata, ila nikiwa nje ya geti la nje ya Muhimbili nlimuona konda mmoja hivi, ukimtazama tu unajua huyu anakwea mmea, nikamfata. "Kaka samahani, sjui unaeza nisaidia, mshkaji wangu amebanwa sana naomba kama unaeza nielekeza mahali ntapata nanii, .... bangi......." hiyo bangi nlivoitamka ni kwa lips tu hata sikutoa sauti.

Jamaa kaniangaliaa kama dkk 2 hivi bila kusema kitu. Then akaniambia siku nyingine nisirudie kuitaja kwa jina hilo, muulize vizuri shemeji atakutajia inavoitwa kitaa ili usipate shida. . Huezi amini, muuzaji alikua denti wa medicine palepale, nikamvutia waya akaniletea. Akati Ras anastua nikawa nimempigia simu taxi driver wangu Msimbe aje atupeleke Aghakhan.

Ndo ukawa mwanzo wa ushkaji wangu na Ras. Issue ya kulana tukawa kama tumejisahaulisha, ila tulijikuta tumezoeana sana. Akajua mishe zangu zote ( ingawa kiuhalisia hazikua zangu ni za mshua) na akawa ananishauri sometimes. Alikua msiri kiaina ila taratibu nikaanza kugain trust yake na akawa anafunguka mipango yake. He was a writer. Kaly nikawa nimeamua kumtema, alilia lia ila badae kapunguza mawasiliano. Bt once in a while alikua anatuma sms ya salam. Sikua namjibu.

Ras hakua mtu wa kutaka msaada. Hata ile kukaa kwa mshkaji wake ilikua inampain ila walau aliona kama sawa maana kipindi chote cha chuo alikua anambeba mshkaji. Bt suala la help kutoka kwangu never. Kuna siku nikajidai kumsapraiz eti kumpeleka shopping ya nguo, nlivyomtamkia tu nunua nguo ntalipi aliniacha pale dukani. Nlijikuta najilaum. Maana nlivomfata akanambia yani nimemuona kwanza maskini, then kama namuaibisha nikiwa naongozana nae so kama vipi jikatae.

Nlijiskia vibaya, all I wanted is to make him comfortable. I just liked him the way he was, najua hakua mpenzi wangu ila sikua nashida kabisa kuongozana nae popote. Ilinichukua mwezi kurudisha urafiki wetu. And since then kama kumsaidia sio direct kiivo, maana kiukweli alihitaji msaada, na nilimsaidia hatimaye. Huezi nipa hogo tam vile then nikakuacha utaabike.

Stay safe people. Tutaiendeleza jumamosi.

@Depal

Jobha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom