Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Wakuu nimetazama hii series mwanzo mwisho kupitia simu yangu. Ukiona Hilo jina utasema inahusu wanyama labda, Kwa kweli ni series nzuri Sana inayo husu madawa ya kulevya mitifuano ya kufa mtu...
2 Reactions
44 Replies
3K Views
Kwenye swala la muziki ,wera namuelewa sana toka bcbg kitambo tu. Wera yuko vizuri sana kwenye utunzi, pilika za jukwaani hawezi, nakumbuka bcbg adolph domingez na Emilia walikua wanamtoa...
1 Reactions
5 Replies
794 Views
Kuna Bileku mpasi Tutu Caludji, Obrigado, Kerosene Chameleone Amigos Adios Vwala, Hapa kwetu kuna Kitokololo Sauti ya Simba, Mau santiago toto ze bingwa,Nguza jr, ni Diouf tu na Banza na kalala...
0 Reactions
2 Replies
81 Views
Ni movie ipi au tamdhlia inayotamba 2026?
0 Reactions
2 Replies
119 Views
Usiku ulikuwa mzito kuliko kawaida. Mvua ilinyesha polepole kana kwamba anga linafikiria kabla ya kuangusha kila tone. Kijana mmoja aitwaye Baraka alisimama dirishani akitazama taa za mbali za...
1 Reactions
11 Replies
628 Views
As a music lover, I believe I could name you many. What comes to my mind now & as an answer to your precise question is: “I belong to you”, by Jacob Lee. Enjoy!
7 Reactions
180 Replies
9K Views
Kusikiliza link: https://youtu.be/qLDq00Cz98I?si=dsRPioVXGZez_GcK
0 Reactions
0 Replies
77 Views
Wimbo nimeupenda sana lakini isivyo bahati nimeutafuta mno mtandaoni bila mafanikio
2 Reactions
3 Replies
268 Views
Huyu mzee ni balaa, "Blacklist" ni moja ya drama underrated sana. Nipo likizo namuangalia Raymond Reddington aka "Red" Drama inaanza tu jamaa kajisalimisha FBI wakati FBI wamemtafuta miaka na...
6 Reactions
8 Replies
245 Views
kuna yoyote anatumiia aina hii ya android box (TV BOX MXQ PRO 4K 5G) na amesha wai kuweka app ya onstream ? Na bila kupata shida yoyote kwenye kuplay movies au series kwenye app iyo maana me...
1 Reactions
0 Replies
149 Views
Walimu hasa mlioko vijijini. Najua hali ya ufundishaji ni ngumu lakni hakuna namna, komaeni na hizo kishikwambi angalau kukuza ndoto za vijana mfano kuna Dj arts, kuchora, kuimba nk. Ila zinakufa...
2 Reactions
28 Replies
331 Views
" WATU PORI "- ULIBISHA HODI BONGO RECORD Intro : Yeah. ulibisha hodi Oooh ..!! Aaah..!! Nikafungua Yeah..!!! Ulibisha hodi Ng'o..!!! NG'o..,!! Verse.. 1 " Dogo Ditto" Kinachoniumiza ni Huyo...
1 Reactions
3 Replies
200 Views
Aict Nyamikoma Choir wakiwa wanaimba katika Kanisa la Africa Inland Church Tanzania Buswelu Dayosisi ya Mwanza.Mtazame huyu mwimbaji mwenye magongo, anamtumikia Mungu kwa Furaha. Sijui Wewe...
2 Reactions
5 Replies
163 Views
Mwaka 2025 ulijaa burudani ya muziki wa viwango vya juu kutoka kila kona ya dunia. Bongo Flava imeendelea kubeba utambulisho wa Afrika Mashariki, Afrobeat ikizidi kutawala majukwaa ya kimataifa...
4 Reactions
20 Replies
776 Views
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma (Mwana FA) muziki wa singeli unashika na unakubalika maeneo mengi hadi nje ya nchi lakini pia ni muziki ambao asili yake ni...
2 Reactions
8 Replies
665 Views
Haji Manara amejiunga na WASAFI FM na kuuangana na Oscar Oscar, Edo Kumwembe, na Adela Tilya kwenye kipindi Cha Leo na Jana. Mara baada ya kukaribishwa, ameshaanza kuwa domokaya kiasi cha...
14 Reactions
48 Replies
1K Views
Tangu uzakiwe mpaka unaanza shule ukijumlisha nyimbo zote ulizowai kusikia kuanzia mabata madogomadogo yanaogelea, napenda kuhesabu namba, hadi nyimbo za bongofleva nyimbo za dini zote, nyimbo...
4 Reactions
20 Replies
460 Views
UHUSIANO WANGU KIMAPENZI NA HAMIDA Utangulizi. 'Mama watoto' aliridhia mimi kuandika simulizi hii kwa masharti. Moja ya masharti nijitahidi kutoacha mlango / milango wazi itakayoruhusu watu...
41 Reactions
980 Replies
267K Views
Back
Top Bottom