babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 16,060
- 20,407
Kuna Bileku mpasi
Tutu Caludji,
Obrigado,
Kerosene
Chameleone
Amigos Adios
Vwala,
Hapa kwetu kuna Kitokololo Sauti ya Simba,
Mau santiago
toto ze bingwa,Nguza jr, ni Diouf tu na Banza na kalala jr wanaweza kushika hio mifupa.
Labda nikumbushe tu Banza aliimba TOT "mimi niseme na wewe useme nani atamskiliza mwenzie?
Kuna "mtaji wa masikini ni nguvu zake mwenyewe
Hiyo nyimbo ya Dr Remmy kwenye verse zake aliimba kwamba wote tukishona viatu nani atanunua vipya?
Tukinunua magari wote nani aendeshe taxi?
Wote tukijipikia nani atauza Mama ntilie?.