Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Mfahamu Carlos Ray 'Chuck' Norris alizaliwa Machi 10, 1940 ni msanii wa michezo ya mapigano wa Marekani na mwigizaji wa filamu. Alitumikia katika Jeshi la anga la Marekani. Alikuwa maarufu kama...
4 Reactions
15 Replies
1K Views
Wakuu Umofia kwenu, Karibuni katika Special Thread ya Tamaduni Music Hapa tutakua tunatupia Line Kali tulizowahi kuziskia kupitia tracks za members wa Tamaduni Tamaduni Music members Nikki...
6 Reactions
87 Replies
10K Views
Hawa wasanii wa tamaduni Music hapa nawazungumzia Nikki mbishi Stereo One the incredible Songa P the Mc Zaiid Ghetto ambassador Kad go Azma Nash mc Wakazi Man su lee Dizasta Ni...
26 Reactions
206 Replies
10K Views
Ugandan singer Joshua Baraka has overtaken Tanzania’s heavyweight Diamond Platnumz in monthly listeners on streaming service, Spotify. As of March 2026, Baraka sits at about 1.71 million monthly...
1 Reactions
0 Replies
189 Views
Tha De-Plow-Matz (mara nyingi hufupishwa kwa: DPT) lilikuwa kundi la muziki wa hip hop lililotamba sana katika miaka ya tisini . NI Kundi linaundwa na Saigon (jina halisi Saleeh Mzee), Dolasoul...
0 Reactions
4 Replies
787 Views
ZAHARANI - MAISHA NA MASHAIRI. Verse..1. Hizi mbio sio za Baiskeri , Haiwezi kabiri Kasi/ Tahadhari usije Ukaferi , Mbuzi Amzindi Farasi/ Usiwambie Watu watakucheka/ 😄 🤣 "hahaha " Wengi...
1 Reactions
3 Replies
224 Views
JOE MAKINI - CHANGANYA LADHA. Namshukuru Mungu Leo Me Niko hapa , Number One Hip hop star sio Tu Raper/ The "Mcee" kwenye Em - cee , Wanakubali kwa hiyari sio kwamba Na force/ J.O.H M.K.A Ena...
0 Reactions
0 Replies
154 Views
Fif: 1: in da club 2: candy shop 3: p.i.m.p 4: i get money 5: ayo technology Tip: 1: whatever you like 2: dead n gone 3: live your life 4: swagger like us 5: no mediocre YUPI ANAMPIGA MWENZAKE...
3 Reactions
32 Replies
428 Views
Point ngapi unazo mdau...
2 Reactions
10 Replies
166 Views
Sijui ata nini kimewakuta hawa jamaa tokea COVID-19. Yaani tokea Avengers: Endgame ya 2019 kusema kweli sijaona movie kali tena. Movies zao baada ya Endgame: Movies: Spider-Man: Far From Home...
5 Reactions
52 Replies
2K Views
Alka Yagnik na Kumar Sanu ni waimbaji wawili maarufu wa India waliotawala muziki wa filamu za Kihindi (Bollywood) hasa katika miaka ya 1990 hadi 2000. Sauti zao zenye hisia na ushirikiano wao na...
1 Reactions
1 Replies
489 Views
Story ya movie ya The Dutchman (2025) kuna namna fulani km imenigusa. Jinsi ilivyoanzia mpaka ilivyoishia. Kuacha maelezo mengi km umeiangalia hii movie kuna kitu inasimulia kwa wale watu...
1 Reactions
4 Replies
191 Views
Kuanzia miaka yaa 1990 hadi 2010 ndio ulikuwa mwisho wa mziki mzuri, mziki mtamu, mziki ulioenda shule, mziki wenye burudani elimu na tafakuri, mziki unaotia hamasa ya kufanya kazi kwa bidii na...
3 Reactions
8 Replies
142 Views
Ni miaka mingi kama 15 iliyopita, mimi, dada zangu 2 na waume zao na kaka zangu 3 na wake zao,tulienda zanzibar kwa mwaliko wa rafiki wetu wa familia,ni mtu mkubwa serikalini hivyo siwezi kumtaja...
2 Reactions
7 Replies
175 Views
Kampuni ya Universal Music Group East Africa imetangaza rasmi ushirikiano wake na Mwimbaji Staa wa muziki wa Afrika Mashariki, Lady Jaydee ambaye anatambulika kama mmoja wa sauti zenye ushawishi...
0 Reactions
3 Replies
163 Views
Ni vizuri wale wana ojua chimbuko la muziku wakatupatia historia yake fupi. Pia naiona ni kama modern zouk hivi (zouk iliyochangamka) Kwa wale wasiojua style ya kompa kibongo bongo wasikie wimbo...
0 Reactions
3 Replies
877 Views
Kama wewe ni dj au mdau wa muziki.hapa unaweza kusikiliza na kudownload nyimbo zilizotengenezwa na madj. Yaan mixing au nonstop mix kutoka djs mbalimbali PIA UNAWEZA TEMBELEA CHANEL YANGU YA...
47 Reactions
1K Replies
125K Views
https://youtu.be/wcK3l4KHXY4?si=siBxITGpZlXWmDha Humu kuna Chid, Cannibal Kichwa Kibovu, Jones mwenyewe, Belle 9, Stamina na Jay More Nani amefunika wengine? Kwangu naona Cannibal kachana vibaya...
2 Reactions
8 Replies
203 Views
Ipi ina vibe unapoisikiliza hapo kitaa ulipo?
2 Reactions
4 Replies
84 Views
https://youtu.be/on0XIvFqJV4?si=_zK9Ex1gcfPCnxtQ Solo Thang kamchana vibaya vibaya Shangazi Kaja. Kafukua kila kona ya aliyofanya Shangazi Kaja. Huyu Shangazi ni nani?
2 Reactions
2 Replies
140 Views
Back
Top Bottom