roja24
JF-Expert Member
- Feb 7, 2012
- 634
- 410
Habari wanajamvi
Naomba mnisaidie kwa wale wataalam wa Series (tamthilia) wanijuze series gani kali ( kuna visa, mikasa, ngumi, mapenzi, usaliti, visasi, visa mafunzo) isiyochosha wala kukinai . Mbali na nilizoziona na ambazo ninazo au nshazidownload kama vile THE WIRE, PRISON BREAK, POWER, THE 100, BLIND SPOT.
Ni hizo tuu kwa upande wangu. Tafadhali tiririka zako nizijue nami nizitafute na kuangalia. Na ukiweka na link yake itasaidia zaidi. Asante in advance