Nyimbo zipi za bongo fleva kushuka 2010 unazozikubali

Nyimbo zipi za bongo fleva kushuka 2010 unazozikubali

MZURI SANA

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2023
Posts
240
Reaction score
547
Tuambie list ya Bongo fleva kuanzia 2010 kushika chini unazozikubali.

Lady jaydee machozi na Damu.

Mwanafa Yalaiti

Diamond platnumz kamwambie.

Niambie wewe?
 
Back
Top Bottom