Alieangalia hii series asimulie visa vya mulee,,,humu kumejaa usalitiii ,mapenzi,,yaan ni vurugu tupu ,wenzetu wanajua kuigizaa
Nimeumia yule Lincoln kuuawa jamani,ningependa awe hadi mwisho wa...
[emoji625]Indiana jones and the dial of destiny.
imeachiwa leo baada ya kukaa cinema kwa zaidi ya mienzi miwili.
Indiana jones ni moja kati ya movie kali za muda wote kwenye upande wa Adventure...
Salaaam wakuu wa JamiiForums,
Tarehe 10/12/2023 kulikuwa na uzinduzi wa taasisi ya professorjay foundation ambayo lengo lake kuu ni kukusanya michango kwa ajili ya matibabu ya wagonjwa wa figo...
YouTube leo imetangaza kuwa YouTube Music na YouTube Premium sasa zinapatikana #Kenya.
---
YouTube imetangaza kuwa YouTube Music na YouTube Premium sasa zinapatikana #Kenya. Upanuzi huu...
Hongera sana #Kondeboy kwa kuingiza wimbo 1 kwenye top 5 ya nyimbo bora za Afrobeats kwa mwaka 2023 huko Spotify..
Siku zote kazi bora huwa inaonekana, kizuri chajiuza kibaya chajitembeza. Ukitoa...
FEMI (play boy) [emoji3590][emoji174]
MTUNZI: PATRICIA ANTONY
SEHEMU YA: 01
MAWASILIANO: 0783642467
Anza nayo.....
Femi kijana fulani hivi machachali ambaye shida anaisikia tu kwa wengine...
KWAAJILI YAKO MAIMUNA [emoji24]
MTUNZI: PATRICIA ANTONY
SEHEMU YA: 01
MAWASILIANO: 0783642467
ANZA NAYO.........
Rehema mwana mama wa miaka 63 aliyejaaliwa watoto wawili wakike na wakiume...
Mezani kuna 'Playlist' ya Nyota hawa wa Bongo Flava
1. Harmonize, Jux & Marioo
2. Diamond, Barnaba & Jay Melody
3. Alikiba, Rayvanny & Mbosso
Utasikiliza kundi namba ngapi?
Umepewa Playlist tatu hapa zina ngoma za
1. Prof. Jay, AY & Chid Benz
2. Fid Q, Mwana FA & Joh Makini
3. Ngwair, Langa & KingZillah, Utasikiliza kundi gani hapo?
Kwa watumiaji wa spotify tunaweza ona wrapped yako!
Kwangu nimesikiliza artists 2,097
Top Five Artist
1. Taylor Swift
2. Alikiba
3. Miley Cyrus
4. Kygo
5. Leona lewis
Top songs
1. Cruel Summer...
Kwenye muziki wa kisasa wa Rhumba hasa kutoka DRC Kuna wanamuziki wawili wanaoshindana kwa ukaribu sana. Je nani kati Yao ni mkali kwa mtazamo wako kati ya Fally Ipupa na Ferre Gola?
Hapa...
Ni kweli Jamii imejaa sana ujinga that’s the reason why he’s not famous.
Edger Vicent Mwaipeta (born February 17, 1993), known to one and all as Dizasta Vina, is a hip-hop musician from Mbeya...
Mambo hayajaenda sawa kwenye kiwanda cha Tamthilia Nchini baada ya kushindwa kutamba kwenye utoaji Tuzo za Tamthilia na Filamu za AMVCA ambapo Tamthilia maarufu na pendwa ya Huba imeshindwa...
“Wanafki nafki watu wa kupakazia Yasowahusu wao kuingilia Maneno yao ni kama ya simba Ukiyasikiliza lazima utaaminia” Mandojo & Domokaya ft Jide
“Hakuonekana na Binti hakuwahi kuasi dini mfuasi...
Wanajamvi natumai nyote ni wazima wa Afya.
Ningependa tujumuike katika Uzi huu, kutaja ni Sinema ipi ambayo umeshaiona zaidi ya mara 5 lakini bado hujaichoka.
Mimi binafsi movie ambayo huwa...
Zawadi ya maneno matamu. Maalumu kwa ajili ya mwanamke bora asilia wa Kiafrika
"Mama Africa", ujumbe maalumu kwenda kwa mwanamke asilia wa kiafrika, mwenye tabasamu angavu, uso wenye nuru, sauti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.