Kuna cha kujifunza kwa wasanii wetu.. Alichofanya Alikiba ni aibu kwa taifa

Ni aibu kwa msanii mkubw kama ally kiba .... kupeqa nafasi ya kufanya show ya tukio kubwa kama hili la AFL akashindwa kuandaa wimbo maalum kuhusu tukio .... badala yake anaunga unga na nyimbo ambazo haziendani na tukio lenyewe..
Wasaniii bwana.....nyimbo mpaka watungiwe
 
Ni aibu kwa msanii mkubw kama ally kiba .... kupeqa nafasi ya kufanya show ya tukio kubwa kama hili la AFL akashindwa kuandaa wimbo maalum kuhusu tukio .... badala yake anaunga unga na nyimbo ambazo haziendani na tukio lenyewe..
Nadhani kuna kitu huelewi kuhusu mialiko ya wasanii kwenye ufunguzi au matamasha mbalimbali ambayo msanii uhitajika kwa ajili ya kutoa burudani.

Ni kwamba wazo la kuimba wimbo maalum huwa halitoki kwa msanii, bali kwa mmiliki wa mashindano, maana yeye ndiye mwenye wazo la msingi.

Yaani anamwita msanii husika, kisha anamwambia anachotaka afanye kwenye ufunguzi au tamasha lale, siyo msanii anajiamulia cha kufanya kama unavyodhani.

Na kwa matukio makubwa kama yale, hata wimbo wa kutumbuiza hachagui msanii.

Next time, kama kitu hujui uwe unauliza kabla ya kulaumu watu kimakosa.

Ova
 
Ni aibu kwa msanii mkubwa kama Ally Kiba .... kupata nafasi ya kufanya show ya tukio kubwa kama hili la AFL akashindwa kuandaa wimbo maalum kuhusu tukio .... badala yake anaunga unga na nyimbo ambazo haziendani na tukio lenyewe..
Si ungetunga wewe na kwenda kufanya hayo unayotaka afanye.
 
Frankly speaking hata mimi nilitegemea mtumbuizaji wa nyimbo za kiasiri hivi. Sasa sijui nimlaumu Kiba au wandaaji?
 
Back
Top Bottom