Angelou by Maquis

Angelou by Maquis

papag

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2009
Posts
1,246
Reaction score
1,883
Enzi za uhai wake Mzee wetu Kasongo Mpinda Clayton, wakati anaitumikia band ya Marquis du Zaire tarehe 18/6/1982 alitunga wimbo unaoitwa "Angelou".

Na haya ni sehemu tu ya mashairi yake:-

KASONGO MPINDA★ Mapenzi gani yanitembeza barabara yote nakua kama kichaaa.

Kuzunguka kichochoroni kote, kumtafuta Angelou yeyeee.

Nachoka nakaa chini, nakumbuka siku ya alhamisi tulifuatana mimi na yeee.

Usiku wa leo sikulala yooo.
Kugeuka geuka namuwaza yeee.

Mmbu zinaniumiza sisikii yoyoo,
Mpaka saa saba kamili sijamuona Angelou yeee.

Jamani sasa Angelou anasema anataka kukata tamaaa.
Kweli kweli nitampatia kisu akate tamaaa,

Sasa Angelou anasema anataka kukata tamaaa,
Haki ya Mungu nitampatia panga akate tamaaa.

Naam! hayo ni sehemu tu ya mashiri ambayo yamo katika wimbo huo wa " Angelou " ni wimbo uliotungwa na Kasongo Mpinda Clayton enzi hizo akiwa na Marquis du Zaire, 18/6/1982.

NA HAWA NDIO WALIOINGIA STUDIO KUREKODI WIMBO HUO:-

BAND★ Marquis du Zaire.
WIMBO★ Angelou. 18/6/1982.
MTUNZI★ Kasongo Mpinda Clayton.
WAIMBAJI★Kasongo Mpinda Clayton, Kiniki kyeto, Mbuya Makonga (Audios), na Kikumbi Mwanza Mpango (King Kikii).
SOLO GITA★ Ilunga Lubaba.
SE/SOLO★ Nawai Kabwile.
RIZIM GITA★ Mulenga Kalonji Vata
BASS GITA★ Ibrahim Saidi.
TUMBA★ Siddy Morris.
DRUMS★ Mutombo Sozzy.
SAXOPHONES★ Hatibu Itetei, Mafumo Bilali Bombenga, na Chinyama Chianza (Chichi).
TRUMPETS★ Ilunga Ngoie Bizoo, Mpoyo Kalenga, na Kaumba Kalemba.

iko ndio kikosi kamili cha wana Marquis du Zaire kilichoingia studio kwenda kuurekodi wimbo huo wa "Angelou", ilikua tarehe 18/6/1982.
Mlikuwa wapi wadau wa Muziki wa dansi kipindi icho.

NB:- Pichani chini ni Marehemu Kasongo Mpinda Clayton enzi za uhai wake akiwa katika majukumu yake ya kimuziki.

Though you're died we still remember you.
Rest in peace Mzee wetu.

FB_IMG_1778082583900.jpg
 
View attachment 3584857
huyu ndie alie imba ule wimbo wa "kasongo mbona wewo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom