Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Mwenye kujua jina la huu mwimbo na jina la mwimbaji tafadhali nijulishe? Huu upo kwenye background wa hilo Tangazo. https://www.instagram.com/reel/DY5FyGRMbVY/?igsh=MWJlb214MWtxejZjbg==
0 Reactions
2 Replies
110 Views
Enzi zile, miongo miwili mitatu ilopita, tulikuwa na Radio moja tu; RTD ilokuwa na Idhaa ya Biashara, Idhaa ya Taifa na External Serive (kimombo). Ilikuwa rahisi sana kujua miziki ilovuma maana...
7 Reactions
114 Replies
43K Views
https://youtu.be/HL1x44_Ptnk?si=1W2Zv4MjVxYIQezP
2 Reactions
4 Replies
94 Views
Nilipenda sana reggae zake zilizokuwa zinamidungo ya kiafrika afrika. Watu wengine walifikiri miziki yake ni ya Lucky Dube. Leo ndio nimejua kuwa alishafariki miaka kadhaa iliyopita. RIP Sipho...
0 Reactions
5 Replies
201 Views
Walimwengu ndo wabaya Jama nipo mahututi, tena ndani icuu Mekurubia mauti, nahema kwa juu juu Siwezi swali kunuti, Mola anipe nafuu Dunia haina baya, walimwengu ndo wabaya Wamenipiga ulozi, ule...
3 Reactions
1 Replies
99 Views
Habarini ndugu. Kwa wanao pafahamu Igunga vizuri ni sehemu gani nzuri ya kula bata palipo changamka siku za weekend + mziki mzuri . Natanguliza shukran.
1 Reactions
36 Replies
479 Views
Nimejaribu kuutafuta mahali mahali nimekwama. Sijui kauimba nani, na sijui kama ni mpya au wa zamani,,,, MANENO YAKE...''Tabibu nimesikia habaari wewe mponyaaji,mponyaaji,,, Na mimi, nimeona...
2 Reactions
4 Replies
146 Views
Kikosi cha mastaa zaidi ya 10 kutoka Kabila la Wangoni kinatarajiwa kuonekana jukwaani siku ya Wakunyumba Traditional Party, wote wakiwa masupa staa wa sanaa mbalimbali. Kwa mujibu wa muandaaji...
1 Reactions
3 Replies
217 Views
Kula ngoma na week-end njema
0 Reactions
1 Replies
76 Views
Colombian pop star Shakira has unveiled the official song for the 2026 FIFA World Cup titled Dai Dai, ahead of the tournament set to take place in the United States, Mexico and Canada. 📸: Shakira...
3 Reactions
13 Replies
411 Views
STORY: I AM THE ONE WHO KILLED THE PRESIDENT MWANDISHI: FEBIANI BABUYA WhatsApp: +255621567672 EMAIL: thomasibabuya@gmail.com AGE: 18+ UKURASA WA KWANZA Msafara mkubwa wa gari ishirini na tano...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
" I say it " ni ngoma niliyoitengeneza kwa msaada wa google Gemini kwa upande wa beat. But mashairi na ,lyrics its all about me made it. Mwanzo wa utengenezaji wa beat nilianza na hizi code. "Uh...
0 Reactions
2 Replies
106 Views
Usiku wa Mbuguni Usiku wa Mbuguni haukuwa na sauti nyingi. Ni upepo tu uliokuwa ukipita juu ya mashimo ya migodi, ukibeba harufu ya vumbi na jasho la wachimbaji. Amani alikuwa anakimbia. Miguu...
0 Reactions
0 Replies
250 Views
Kompa music vs Amapiano. Nadhani ni muda muafaka sasa wasanii wa Muziki nchini Tanzania wakatibadilishia ladha kdigo toka Bongo piano kuelekea Kompa. Au ikishindikana kabisa wafanye mchanganyiko...
1 Reactions
30 Replies
4K Views
FROM. Kama wewe ni mpenzi wa Mystery, Sci-Fi, na Horror (kama uliipenda 'LOST'), basi hapa ndipo mahali pako. UTANGULIZI: Inahusu nini? FROM inatupa picha ya mji mmoja wa ajabu katikati mwa...
3 Reactions
17 Replies
343 Views
Kwa wote waliokuwa wanautafuta wimbo wa "Farida - oh pesa" sasa umepatikana. Kazi kwenu. Deadbody, STUNTER, Shark
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Habari wana JF!! Kuna nyimbo naitafuta bila mafanikio. Inaimbwa "nilimwomba Mungu sana (sana sanaa), anipatie tunae pendana (namimi ndo maana). Siku zote mi nawe habibi siku zotee, tupo sote mi na...
2 Reactions
23 Replies
985 Views
Heshima kwenu wanajukwaa. Kama tunavyojua kwamba huu ni msimu wa sikukuu za xmass and new year na kuanzia leo just tunahesabu siku kuelekea siku ya jingles, so uzi huu ni maalum kwa ajili ya...
8 Reactions
101 Replies
21K Views
Kila mmoja wetu ana ile series yake (TV Show) ambayo ilimfanya aingie kwenye "addiction" kuifuatilia. Ile ambayo unajikuta unafuta hata ratiba zako za muhimu ili tu upate muda wa kutazama episode...
2 Reactions
9 Replies
400 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…