Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Salaam! Ndugu nawaletea ushuhuda wenye 100% ,mwaka jana katika pita pita za kutafuta maisha nikaamua nijiweke kwenye umeneja wa wanamziki ,nkazama mtaani nkaibua vipaji viwili ,ilikuwasapoti...
23 Reactions
76 Replies
5K Views
Kutokana na kwamba mwanangu Marquise hataka kuchukua biashara niliyompa yenye thamani ya almost $5 milioni, nimeamua kuacha kumpa $6700 ya matunzo ya kila mwezi. Nafikiri ni wakati mitaa...
23 Reactions
72 Replies
4K Views
Unajua hawa wasanii wanapokuwa celebrated na kuwa glorified inafika point wanajiona wao ni Mungu-mtu Sasa anadhani asipoenda kufanya show watakufa njaa?
4 Reactions
18 Replies
979 Views
WCB wametangaza kuwa Diamond amewasilisha wimbo wa Komasava kuwania Tuzo za Grammy mwaka kesho. Komasava imewasilishwa katika vipengele vya Best Music Video na Best African Music Performance...
17 Reactions
162 Replies
7K Views
Hebu leo wanawake semeni nyie mnasukaje maana kila wiki mnaenda salon kusuka ila huyu Harmonize ni zaidi ya miezi 6 tangu asuke ila nywele zake zina ubora tofauti na nyie tatizo liko wapi...
7 Reactions
47 Replies
9K Views
Anaandika @stevenyerere2 “Nimekusikiliza mara 100 Sijakuelewa kabisa kabisa Kila saa Nasema hivi baada ya kutolewa baruti Simba Nani alikuokota Kitaaaaa Napata jibu Hers,.. Nikajiuliza Tena Hers...
6 Reactions
34 Replies
2K Views
Kuna chuo fulani huko majuu kimetoa list yake ya "The most beutiful women in the world" na list ya ndo hii...
14 Reactions
232 Replies
17K Views
Stori:Waandishi Wetu Inauma sana! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya kusikia habari hii kuwa ile ofisi ya aliyekuwa mwigizaji kinara wa sinema za Kibongo, Steven Charles Kanumba ‘Marehemu...
1 Reactions
25 Replies
16K Views
Msanii huyu alikua mkubwa sanaa anapesa nyingi kumpa mwanamke gar ya thaman kwake ni kama kumnunulia kanga Kuna muda alikua anapita tu mitaa ya kariakoo sasa hiv imebadilishwa jina inaitwa...
0 Reactions
2 Replies
584 Views
Vesi ya kwanza Ngwair anajipanga kutoka ghetto amoga na kuwaka na kuingia kitaa kuanza kula bata, kuanzia supu ya chapati, grave yard kupata nyasi, anawacheki Rich Coast wapi wapi, wanakutana...
9 Reactions
17 Replies
2K Views
Naomba kuuliza swali: Je viongozi wa juu kama rais, Rais wa Zbar wakitajwa kwenye kashfa wana JF mnaweza kuwashadidia hadi wajiuzulu? Mfano kama ripoti ya Richmond ambayo haikusomwa, imevuja...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Mafisadi sasa wahujumu TRA bandarini, mipakani 2008-05-05 09:06:28 Na Patrick Chambo, PST, Kilimanjaro Mradi wa kuhakiki bidhaa ziingiazo nchini wa Tiscan unaomilikiwa na Kampuni ya...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
wanahabari kwangu mie hii ni vibweka.source habari leo Waziri Mkuu Mizengo Pinda amesema kwamba kuibuliwa kwa masuala ya rushwa kwa viongozi wa serikali kulikofanywa na vyombo vya habari...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu Mimi kama mwana jamii forum niko mbion sana kuachia ngoma yangu mpya na ya kwanza kabisa maana sijawah achia...
6 Reactions
71 Replies
5K Views
DIAMOND PLATNUMZ NA DIAMOND KARANGA ILIVYOGEUKA TALAKA YA CHOZI Na Luqman MALOTO INGEWEZEKANA, yaliyowezekana kwenye movie ya Superman mwaka 1978, yangewezeshwa katika ulimwengu halisi. Superman...
19 Reactions
20 Replies
5K Views
KUMBUKUMBU YA MWANAMUZIKI SALUM ABDALLAH: Tarehe 18 Novemba mwaka huu ilikuwa ni siku ya Kumbukumbu ya Miaka 55 ya kifo cha mwanamuziki na kiongozi wa Cuban Marimba band ya Morogoro Salum...
22 Reactions
29 Replies
4K Views
Sina mengi hapo wakuu tiririkeni kuhusu picha yake mnaionaje
6 Reactions
128 Replies
31K Views
Wasalaam wana jamvi. Nikiwa kama mdau wa sanaa nimekuwa nikifatilia mwenendo wa Msanii Queen Doreen tangu aonekane ni mmoja wa wasanii ndani ya lebel ya WCB chini ya kaka yake Diamond...
8 Reactions
73 Replies
14K Views
Moja kwa Moja kwenye mada. Msanii Harmonize kashuka kimuziki upande wa international (nje ya mipaka ya Tanzania) na kawa msanii wa ndani (bongo) pamoja na Africa mashariki kipindi bado yupo...
4 Reactions
32 Replies
2K Views
Back
Top Bottom